WAZIRI KITWANGA ATEMBELEA UHAMIAJI, ATANGAZA OPERESHENI YA KUKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akimsalimia Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile wakati alipowasili Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, John Mngodo. Katika ziara hiyo, Waziri Kitwanga aliitaka Idara hiyo ya Uhamiaji kuanz rasmi kwa operesheni ya kuwakamata Wahamiaji Haramu nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi23 Dec
WAZIRI KITWANGA ATANGAZA OPERESHENI YA KUKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/12/uh1.jpg)
11 years ago
Michuzi12 Feb
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ehtiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu.
na Mbeya yetu.---------------------------- IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ehtiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu. Akizungumza na waandishi wa habari ofisinin kwake Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya...
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Operesheni wahamiaji haramu imeishia wapi?
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xkD01DKzp4U/VQmAnaOP8zI/AAAAAAAHLSM/Tafk-bsZ7ps/s72-c/unnamed.jpg)
Idara ya Uhamiaji yaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini
IDARA ya Uhamiaji nchini,Imesema inaendelea kupambana na uhamiaji haramu nchini na kuwataka wananchi waendelee kutoa taarifa za wahamiaji haramu na hatua zinachukuliwa dhidi ya wahamiaji hao.
Hayo ameyasema,Naibu Kamishina wa Idara ya Uhamiaji na Msemaji wa Mkuu wa Idara hiyo,Abbas Irovya ,amesema idara ya uhamiaji inaendelea kupambana na wahamiaji haramu na kufanya uhamiaji haramu kupungua.
Irovya amesema kuwa kuna gazeti moja la wiki jina tunalihifadhi...
11 years ago
Habarileo21 Dec
Uhamiaji wanasa kinara wa uvushaji wahamiaji haramu
IDARA ya uhamiaji mkoani Kilimanjaro, imefanikiwa kumkamata kinara wa biashara ya binadamu, Abdul Ndaishimiye (33) raia wa Burundi anayedaiwa kuvusha wahamiaji haramu kuingia nchini kwa wastani wa Sh milioni 2 kwa kila mtu mmoja.
11 years ago
GPLIDARA YA UHAMIAJI MBEYA INAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA
9 years ago
StarTV24 Dec
Waziri Kitwanga aagiza ukaguzi wa kina Uhamiaji
Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amemwagiza Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani kupeleka wakaguzi katika Idara ya Uhamiaji ili kuweza kuondoa utata na kujua malipo yanayofanyika kwa njia ya benki.
Waziri Kitwanga ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea makao makuu ya Idara ya Uhamiaji na kujadiliana mambo mbalimbali na wakuu wa idara ili kuboresha utendaji kazi.
Mbali na Agizo hilo Waziri Kitwanga pia amewaagiza uhamiaji kukaa pamoja na Kamishna wa kazi ili kuweka utaratibu mzuri wa...
10 years ago
Michuzi20 Dec
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI KITWANGA ATEMBELEA BWAWA LA MTERA
Naibu Waziri Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya Nishati Mhe. Charles Kitwanga amefanya ziara ya kutembelea Bwawa la kuzalisha Umeme la Mtera mwishoni mwa wiki kwa lengo la kuangalia mwenendo wa maji katika bwawa hilo.
Wakati akizungumza na watendaji wa Bwawa hilo, Kitwanga amewataka watendaji hao kuhakikisha kuwa Bwawa la Mtera linaendelea kuwa na kiasi cha maji ya kutosha wakati wote ili kuweza kuzalisha umeme wa kutosha.
“Lazima muhakikishe...