Waziri Kitwanga aagiza ukaguzi wa kina Uhamiaji
Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amemwagiza Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani kupeleka wakaguzi katika Idara ya Uhamiaji ili kuweza kuondoa utata na kujua malipo yanayofanyika kwa njia ya benki.
Waziri Kitwanga ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea makao makuu ya Idara ya Uhamiaji na kujadiliana mambo mbalimbali na wakuu wa idara ili kuboresha utendaji kazi.
Mbali na Agizo hilo Waziri Kitwanga pia amewaagiza uhamiaji kukaa pamoja na Kamishna wa kazi ili kuweka utaratibu mzuri wa...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAZIRI KITWANGA ATEMBELEA UHAMIAJI, ATANGAZA OPERESHENI YA KUKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI
5 years ago
Michuzi
VISHOKA UHAMIAJI ‘WAMCHEFUA’ WAZIRI SIMBACHAWENE, AAGIZA WASAKWE POPOTE WALIPO

9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MASAUNI ATEMBELEA UHAMIAJI, AAGIZA MAKAMPUNI YENYE KUAJIRI WAGENI YACHUNGUZWE
11 years ago
Mwananchi26 Oct
Maghembe aagiza ukaguzi kufanyika Muwsa
10 years ago
Habarileo10 Sep
RC Mbeya aagiza ukaguzi maalumu fidia ya Tanapa
SAKATA la malipo ya fidia kwa waliokuwa wakazi wa kata ya Msangaji wilayani Mbarali waliohamishwa kupisha Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, upande wa Ihefu limechukua sura mpya baada ya serikali mkoani hapa kuagiza ofisi ya mkaguzi mkoa wa Mbeya kufanya ukaguzi maalumu juu ya malipo yaliyofanyika kwa wahanga.
9 years ago
Michuzi14 Dec
WAZIRI KITWANGA, NAIBU WAZIRI WA USALAMA WA RAIA WA CHINA WASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO


5 years ago
Michuzi
LUKUVI AAGIZA KUFANYIKA UHAKIKI WA KINA UTEKELEZAJI MAAMUZI YA KUTOONDOLEWA VIJIJI 920


Sehemu ya Manaibu Mawaziri wa Wizara zinazohusika katika utekelezaji maagizo ya kutoondolewa vijiji 920 kati ya 975 katika maeneo ya hifadhi wakifuatilia uwasilishaji taarifa ya utekelezaji uliofanywa na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Waziri Kitwanga aikimbia orodha ya wauza unga
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amepata kigugumizi kuweka hadharani orodha ya majina ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya, licha ya kuliagiza Jeshi la Polisi limpatie.
Amesema hata akiwa na orodha hiyo, haitasaidia kukomesha biashara ya dawa za kulevya na badala yake wameunda mfumo utakaosaidia kudhibiti dawa hizo kuingizwa nchini.
Waziri Kitwanga, alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana, muda mfupi baada ya kumalizika kikao chake na maofisa...
9 years ago
StarTV22 Dec
Waziri Kitwanga kuwashughulikia wahusika madawa ya kulevya.
Waziri wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga amesema hataogopa kushughulika na mtu au kundi lolote litakalobainika kuhusika na biashara ya dawa za kulevya na kuliagiza jeshi la polisi kuboresha mfumo utakaovunja mtandao wa biashara hiyo, bila kujali nguvu za kifedha ama mamlaka waliyonayo.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari, baada ya kikao na viongozi waandamizi wa jeshi la polisi jijini Dar es salaam ambapo akaagiza kuwepo kwa mfumo madhubuti utakawatia wote nguvuni.
Amesema,...