LUKUVI AAGIZA KUFANYIKA UHAKIKI WA KINA UTEKELEZAJI MAAMUZI YA KUTOONDOLEWA VIJIJI 920
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza katika kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji maamuzi ya kutoondolewa vijiji 920 kati ya 975 vilivyokuwa katika mgogoro wa hifadhi kutoka kwa makatibu wakuu wa sekta husika jijini Dodoma jana.
Sehemu ya Manaibu Mawaziri wa Wizara zinazohusika katika utekelezaji maagizo ya kutoondolewa vijiji 920 kati ya 975 katika maeneo ya hifadhi wakifuatilia uwasilishaji taarifa ya utekelezaji uliofanywa na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Aug
JK aagiza uhakiki mipaka uishe haraka
RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza mamlaka zote za uhakiki wa mipaka na uwekaji mawe katika Mpaka wa Kimataifa wa Tanzania na Burundi na mipaka na nchi nyingine, kukamilisha kazi hiyo mapema iwezekanavyo.
9 years ago
StarTV24 Dec
Waziri Kitwanga aagiza ukaguzi wa kina Uhamiaji
Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amemwagiza Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani kupeleka wakaguzi katika Idara ya Uhamiaji ili kuweza kuondoa utata na kujua malipo yanayofanyika kwa njia ya benki.
Waziri Kitwanga ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea makao makuu ya Idara ya Uhamiaji na kujadiliana mambo mbalimbali na wakuu wa idara ili kuboresha utendaji kazi.
Mbali na Agizo hilo Waziri Kitwanga pia amewaagiza uhamiaji kukaa pamoja na Kamishna wa kazi ili kuweka utaratibu mzuri wa...
10 years ago
Habarileo23 Jun
Lukuvi aagiza upimaji ardhi kote nchini
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameziagiza halmashauri nchini kuharakisha upimaji wa ardhi na mashamba katika maeneo ya wananchi ambao ndio wamiliki wa asili wa maeneo hayo ili kuondoa migogoro ya ardhi inayosababisha wananchi kuichukia Serikali yao.
10 years ago
Habarileo01 Apr
Lukuvi aagiza utafiti mauzo ya nyumba za NHC
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lifanye tathmini ya uuzaji wa nyumba zake kubaini sababu za watu wa kipato cha chini ‘kutozichangamkia’.
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Lukuvi aagiza halmashauri kutenga ardhi kwa NHC
5 years ago
MichuziDKT KALEMANI AAGIZA VIJIJI 11 SINGIDA MASHARIKI KUWASHWA UMEME NDANI YA MWEZI MMOJA
Waziri wa Nishati Medard Kalemani akizungumza kabla ya kuwasha umeme katika vijiji vya Matare na Nkuhi vilivyopo jimbo la Singida Mashariki,kulia kwake ni Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Edward Mpogolo.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Miraji Mtaturu akizungumza katika ziara ya Waziri wa Nishati Medard Kalemani jimboni humo.
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani akitoa maagizo kwa wakandarasi wa umeme akiwa katika ziara wilayani...
5 years ago
MichuziWAZIRI LUKUVI AAGIZA HATI ZA ARDHI KUTOLEWA NDANI YA WIKI MOJA
Muonekano wa Ofisi mpya ya Ardhi mkoa wa Tanga ambayo imezinduliwa rasmi jana na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi.
Baadhi ya Wananchi...
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Maghembe aagiza ukaguzi kufanyika Muwsa
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Mh. Lukuvi aagiza uongozi wa mkoa wa Manyara kumaliza migogoro ya ardhi kabla ya mwezi Mei mwaka huu
Mkuu wa mkoa wa Manyara ,Mhe.Joel Nkaya Bendera akizungumza katika kikao cha viongozi wa wilaya zote za mkoa huo kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Babati, kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhe.William Lukuvi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Crispin Meela.Mhe.Bendera amesisitiza nidhamu ya kazi katika kuhudumia wananchi na ameapa kuwaondoa watendaji wabovu mkoani humo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.William Lukuvi akizungumza katika...