Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maghembe aagiza ukaguzi kufanyika Muwsa

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe amemwagiza mkaguzi mkuu wa ndani wa wizara hiyo kwenda kukagua Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (Muwsa).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

TheCitizen

Prof Maghembe appoints new Muwsa Director

Ms Joyce Msiru, who was Finance and Administration Manager for the Moshi Urban Water Supply and Sanitation Authority (Muwsa) has been promoted public utility’s Managing Director.

 

9 years ago

StarTV

Waziri Kitwanga aagiza ukaguzi wa kina Uhamiaji

Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amemwagiza Katibu Mkuu  wa Mambo ya Ndani kupeleka wakaguzi katika Idara ya Uhamiaji ili kuweza kuondoa utata na kujua malipo yanayofanyika kwa njia ya benki.

Waziri Kitwanga ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea makao makuu ya Idara ya Uhamiaji na kujadiliana mambo mbalimbali na wakuu wa idara ili kuboresha utendaji kazi.

Mbali na Agizo hilo Waziri Kitwanga pia amewaagiza uhamiaji kukaa pamoja na Kamishna wa kazi ili kuweka utaratibu mzuri wa...

 

9 years ago

Habarileo

RC Mbeya aagiza ukaguzi maalumu fidia ya Tanapa

SAKATA la malipo ya fidia kwa waliokuwa wakazi wa kata ya Msangaji wilayani Mbarali waliohamishwa kupisha Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, upande wa Ihefu limechukua sura mpya baada ya serikali mkoani hapa kuagiza ofisi ya mkaguzi mkoa wa Mbeya kufanya ukaguzi maalumu juu ya malipo yaliyofanyika kwa wahanga.

 

5 years ago

Michuzi

LUKUVI AAGIZA KUFANYIKA UHAKIKI WA KINA UTEKELEZAJI MAAMUZI YA KUTOONDOLEWA VIJIJI 920

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza katika kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji maamuzi ya kutoondolewa vijiji 920 kati ya 975 vilivyokuwa katika mgogoro wa hifadhi kutoka kwa makatibu wakuu wa sekta husika jijini Dodoma jana.
Sehemu ya Manaibu Mawaziri wa Wizara zinazohusika katika utekelezaji maagizo ya kutoondolewa vijiji 920 kati ya 975 katika maeneo ya hifadhi wakifuatilia uwasilishaji taarifa ya utekelezaji uliofanywa na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi wa Muwsa aachiwa huru

Mahakama imemwachia huru mkurugenzi mtendaji wa zamani wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira wa Mji wa Moshji (Muwsa), Anthony Kasonta aliyekuwa anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi Muwsa atoa siku 90

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (Muwsa), Joyce Msiru ametoa siku 90 za utekelezaji wa malengo saba ya mamlaka hiyo, ikiwamo kupunguza kiwango cha maji yanayopotea hadi kufikia wastani wa asilimia 22 kwa mwaka 2015/2016.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi MUWSA walia na ufisadi

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Maji Safi Moshi (MUWSA), wamemtaka Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, kuunda timu itakayochunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma yanayofanywa na menejimenti ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siku 180 zaleta neema MUWSA

MWAKA jana Rais  Jakaya Kikwete alizindua mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ikiwa ni sehemu ya juhudi ya kuitoa nchi kwenye kipato cha chini kwenda cha kati. Tanzania inatekeleza mpango...

 

11 years ago

Habarileo

Mahakama yaaachia huru vigogo wa MUWSA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Moshi imewaachia huru washtakiwa wawili waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya ufisadi, akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Moshi (MUWSA), Anthony Kasonta. Mwingine aliyeachiliwa ni aliyekuwa Kaimu Meneja wa Fedha na Utawala wa mamlaka hiyo, John Ndetiko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani