Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Mbeya aagiza ukaguzi maalumu fidia ya Tanapa

SAKATA la malipo ya fidia kwa waliokuwa wakazi wa kata ya Msangaji wilayani Mbarali waliohamishwa kupisha Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, upande wa Ihefu limechukua sura mpya baada ya serikali mkoani hapa kuagiza ofisi ya mkaguzi mkoa wa Mbeya kufanya ukaguzi maalumu juu ya malipo yaliyofanyika kwa wahanga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Magufuli aagiza fidia daraja Kigamboni

Waziri wa Ujenzi, Dk John MagufuliWAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli, amefanya ukaguzi wa ghafla katika ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam na kutoa siku mbili kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kufanya tathmini ya malipo ya fidia katika eneo la kilomita 1.2 na kukabidhi mkandarasi kipande hicho kwa ajili ya ujenzi wa barabara.

 

10 years ago

Mwananchi

Maghembe aagiza ukaguzi kufanyika Muwsa

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe amemwagiza mkaguzi mkuu wa ndani wa wizara hiyo kwenda kukagua Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (Muwsa).

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOANI MBEYA AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA STENDI KUU YA MABASI MBEYA.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ULRICH MATEI leo tarehe 04.05.2020 majira ya saa 05:00 Alfajiri amefanya ukaguzi wa kushtukiza wa Mabasi ya Abiria yanayofanya safari kwenda mikoa mbalimbali kabla ya kuanza safari kwa lengo la kuangalia usalama wa vyombo hivyo vya usafiri pamoja na kujiridhisha na usimamizi na utekelezaji wa maelekezo yake kwa wakaguzi wa magari waliopo Stendi Kuu.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za...

 

9 years ago

StarTV

Waziri Kitwanga aagiza ukaguzi wa kina Uhamiaji

Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amemwagiza Katibu Mkuu  wa Mambo ya Ndani kupeleka wakaguzi katika Idara ya Uhamiaji ili kuweza kuondoa utata na kujua malipo yanayofanyika kwa njia ya benki.

Waziri Kitwanga ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea makao makuu ya Idara ya Uhamiaji na kujadiliana mambo mbalimbali na wakuu wa idara ili kuboresha utendaji kazi.

Mbali na Agizo hilo Waziri Kitwanga pia amewaagiza uhamiaji kukaa pamoja na Kamishna wa kazi ili kuweka utaratibu mzuri wa...

 

11 years ago

GPL

UKAGUZI MAALUMU AKAUNTI YA TEGETA ESCROW

Katibu wa Kamati ya bunge ya hesabu za serikali (PAC), Zitto Kabwe. Hadidu rejea
1)      Kuchunguza uendeshaji wa mkataba wa kuzalisha Umeme kati ya kampuni ya IPTL na TANESCO
2)      Kuchunguza kama wakati escrow inafunguliwa kampuni ya mechmar ilikuwa inamiliki IPTL, kama ilikuwa imefilisiwa na kama ilikuwa imehamisha umiliki wake kwa kampuni ya PAP.
3)      Kuchunguza na...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

Ukaguzi Maalumu akaunti ya Tegeta Escrow-Hadidu Rejea-PAC

Ukaguzi Maalumu akaunti ya Tegeta Escrow

Hadidu rejea

1)      Kuchunguza uendeshaji wa mkataba wa kuzalisha Umeme kati ya kampuni ya IPTL na TANESCO

2)      Kuchunguza kama wakati escrow inafunguliwa kampuni ya mechmar ilikuwa inamiliki IPTL, kama ilikuwa imefilisiwa na kama ilikuwa imehamisha umiliki wake kwa kampuni ya PAP.

3)      Kuchunguza na kuthibitisha ushahidi wa kampuni ya PAP kununua kampuni ya mechmar na kumiliki IPTL

4)      Kuchunguza chanzo cha mgogoro kuhusu tozo kati ya...

 

10 years ago

Mwananchi

TFDA Mbeya kuanza ukaguzi wa malori

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), imesema itaanza kufanya ukaguzi wa malori yanayosafirisha mafuta na mizigo kupitia vituo vya Kasumulu na Tunduma, mkoani Mbeya. Lengo la mpango huo ni kudhibiti uingiaji holela nchini wa bidhaa zilizopigwa marufuku, zikiwamo dawa za kulevya.

 

10 years ago

Habarileo

CCM Mbeya wafagilia mafanikio ya Bunge Maalumu

CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) Mbeya mjini kimepongeza bunge maalumu kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuchakata maoni ya wananchi na hatimaye kupatikana Katiba inayopendekezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani