Magufuli aagiza fidia daraja Kigamboni
WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli, amefanya ukaguzi wa ghafla katika ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam na kutoa siku mbili kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kufanya tathmini ya malipo ya fidia katika eneo la kilomita 1.2 na kukabidhi mkandarasi kipande hicho kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Oct
JK aagiza changamoto daraja Kigamboni ziishe
RAIS Jakaya Kikwete ametembelea daraja la Kigamboni, Dar es Salaam, jana, na kuagiza changamoto zilizoainishwa zitatuliwe haraka kabla mradi haujamalizika.
11 years ago
Mwananchi09 Aug
Magufuli ahimiza Daraja Kigamboni
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...
11 years ago
Habarileo14 Apr
Magufuli aagiza matengenezo ya haraka Daraja la Mpiji
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametaka watendaji wa Wakala wa Barabara (Tanroads), kuharakisha matengenezo ya barabara karibu na Daraja la Mpiji ili kurejesha mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Pwani.
11 years ago
GPLMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU, DARAJA LA KIGAMBONI
10 years ago
Michuzi
Dkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikagua moja ya nguzo za barabara za juu flyovers katika maingilio ya Daraja la Kigamboni. Katika eneo hilo kutajengwa barabara za juu ili kuruhusu magari kupita kwa urahisi wakati wa kuingia na kutoka katika daraja hilo.

11 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...
10 years ago
Habarileo10 Sep
RC Mbeya aagiza ukaguzi maalumu fidia ya Tanapa
SAKATA la malipo ya fidia kwa waliokuwa wakazi wa kata ya Msangaji wilayani Mbarali waliohamishwa kupisha Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, upande wa Ihefu limechukua sura mpya baada ya serikali mkoani hapa kuagiza ofisi ya mkaguzi mkoa wa Mbeya kufanya ukaguzi maalumu juu ya malipo yaliyofanyika kwa wahanga.
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Daraja Kigamboni neema au balaa?