Magufuli aagiza matengenezo ya haraka Daraja la Mpiji
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametaka watendaji wa Wakala wa Barabara (Tanroads), kuharakisha matengenezo ya barabara karibu na Daraja la Mpiji ili kurejesha mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Pwani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Jul
Magufuli aagiza fidia daraja Kigamboni
WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli, amefanya ukaguzi wa ghafla katika ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam na kutoa siku mbili kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kufanya tathmini ya malipo ya fidia katika eneo la kilomita 1.2 na kukabidhi mkandarasi kipande hicho kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Makamu wa Rais afanya ziara ya kukagua athari za mafuriko Dar na maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Mpiji
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Mussa Iombe, sehemu ya Daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na Dar es Salaam, lililokatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini, wakati Makamu alipofanya ziara hiyo ya kujionea maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo leo Aprili 13, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...
10 years ago
Habarileo29 Aug
JK aagiza uhakiki mipaka uishe haraka
RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza mamlaka zote za uhakiki wa mipaka na uwekaji mawe katika Mpaka wa Kimataifa wa Tanzania na Burundi na mipaka na nchi nyingine, kukamilisha kazi hiyo mapema iwezekanavyo.
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Dk Bilal aagiza umeme wa upepo uzalishwe haraka
11 years ago
Habarileo31 Jan
Bunge lataka daraja Kigamboni haraka
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelitaka Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuharakisha kukamilisha ujenzi wa daraja la Kigamboni, ili kutoa nafasi kwa Rais Jakaya Kikwete kulifungua. Aidha NSSF na Wakala wa Barabara (Tanroads), wametakiwa kuungana kujadili namna ya kukabiliana na changamoto ya foleni katika barabara kadhaa baada ya kukamilika kwa daraja hilo.
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Kikwete: Matatizo daraja Kigamboni yatatuliwe haraka
10 years ago
Habarileo08 Oct
JK aagiza changamoto daraja Kigamboni ziishe
RAIS Jakaya Kikwete ametembelea daraja la Kigamboni, Dar es Salaam, jana, na kuagiza changamoto zilizoainishwa zitatuliwe haraka kabla mradi haujamalizika.