Bunge lataka daraja Kigamboni haraka
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelitaka Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuharakisha kukamilisha ujenzi wa daraja la Kigamboni, ili kutoa nafasi kwa Rais Jakaya Kikwete kulifungua. Aidha NSSF na Wakala wa Barabara (Tanroads), wametakiwa kuungana kujadili namna ya kukabiliana na changamoto ya foleni katika barabara kadhaa baada ya kukamilika kwa daraja hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Kikwete: Matatizo daraja Kigamboni yatatuliwe haraka
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...
10 years ago
Habarileo01 Nov
Bunge lataka miundombinu DART ilindwe
KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa agizo kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuharakisha kufanya makubaliano na Jeshi la Polisi nchini ili kuunda kikosi maalumu cha ulinzi wa miundombinu ya mradi huo ambayo imekuwa ikihujumiwa na baadhi ya watu.
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Bunge lataka madeni TTCL yalipwe
KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imewataka wanaodaiwa katika Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kulipa madeni yao kwa wakati, ili iweze kujiendesha kwa ufanisi zaidi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Bunge la US lataka Ukraine ipewe Silaha
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Bunge lataka mgogoro Bukoba uishe
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Benadetha Mshashu, ameitaka wizara husika kuhakikisha inasimamia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa uongozi...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Kanisa lataka Bunge Maalum livunjweÂ
ASKOFU wa Kanisa la Methodist Jimbo la Dodoma, Joseph Bundala, amemtaka Rais Jakaya Kikwete, kuvunja Bunge Maalum la Katiba kwakuwa umekosekana mwafaka wa pande mbili zinazovutana. Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Habarileo14 Apr
Magufuli aagiza matengenezo ya haraka Daraja la Mpiji
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametaka watendaji wa Wakala wa Barabara (Tanroads), kuharakisha matengenezo ya barabara karibu na Daraja la Mpiji ili kurejesha mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Pwani.
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Bunge lataka Ewura ipunguze bei ya mafuta