Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete: Matatizo daraja Kigamboni yatatuliwe haraka

 Rais Jakaya Kikwete ametembelea daraja la Kigamboni, Dar es Salaam jana na kuagiza changamoto zilizoanishwa zitatuliwe haraka kabla mradi haujakamilika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bunge lataka daraja Kigamboni haraka

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelitaka Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuharakisha kukamilisha ujenzi wa daraja la Kigamboni, ili kutoa nafasi kwa Rais Jakaya Kikwete kulifungua. Aidha NSSF na Wakala wa Barabara (Tanroads), wametakiwa kuungana kujadili namna ya kukabiliana na changamoto ya foleni katika barabara kadhaa baada ya kukamilika kwa daraja hilo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbassa ataka matatizo ya afya yatatuliwe

MBUNGE wa Biharamulo Magharibi Dk.Antony Mbassa (CCM),ameitaka serikali ieleze ina mikakati gani wa kuboresha masilahi ya watumishi wa sekta ya afya ili kutatua matatizo yanayojitokeza. Mbassa pia alitaka serikali ieleze...

 

9 years ago

Michuzi

MKAPA AMPONGEZA RAIS KIKWETE, NSSF UJENZI DARAJA LA KIGAMBONI

 RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa( katikati) akipokea maelezo kuhusu mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni kutoka kwa Meneja Miradi wa shirika hilo Muhandisi John Msemo (kulia kwake) alipotembelea ujenzi huo kwa mualiko maalum kutoka NSSF. Muonekano wa Daraja kwa sasa. RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudensia Kabaka (wan ne kulia) pamoja viongozi na maofisa wa Shirika la NSSF wakiongozwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete asifu juhudi za NSSF kuwezesha mradi wa daraja la Kigamboni na ujenzi wa nyumza za gharama nafuu

7

Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo wakati wa ziara yake ya kutembelea mradi wa daraja la Kigamboni inayofadhiliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), pamoja na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za gharama nafuu zilizopo Kijichi Dar es Salaam.

Na Mwandishi Wetu

Rais Jakaya Kikwete ametembelea daraja la Kigamboni, Dar es Salaam, jana, ambapo ameagiza changamoto zilizoanishwa zitatuliwe haraka kabla mradi haujamalizika.

Akizungumza wakati wa kupokea taarifa ya ujenzi...

 

10 years ago

Michuzi

Raisi Kikwete asifu juhudi za NSSF kuwezesha mradi wa daraja la kigamboni na ujenzi wa nyumza za gharama nafuu

Waziri wa ujenzi, Dk. John Magufuli akielezea jinsi wizara yake ilivyojipanga kuhakikisha kuwa malengo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni unaofadhiliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), inafikiwa na kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam. Rais Kikwete alitembelea mradi huo pamoja na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za garama nafuu zilizopo Kijichi Dar es Salaam.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dk. Ramadhan Dau (wa...

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YANAYOMFANYA MWANAMKE ASIPATE UJAUZITO HARAKA-2

Leo naendelea na mada niliyoanza wiki iliyopita, kuhusiana na matatizo yanayowafanya wanawake wasipate ujauzito haraka. Suala la kufahamu mzunguko wa hedhi, siku za kupata mimba linawahusu wote wawili, mume na mke.
Matatizo ya kisaikolojia kwa mwanaume na mwanamke na unene kupita kiasi pia huchangia tatizo hili. DALILI ZA TATIZO
Kama tulivyoona, kitendo cha mwanamke na mumewe kukaa zaidi ya mwaka wanatafuta mtoto ni tatizo...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

11 years ago

Habarileo

Magufuli aagiza matengenezo ya haraka Daraja la Mpiji

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametaka watendaji wa Wakala wa Barabara (Tanroads), kuharakisha matengenezo ya barabara karibu na Daraja la Mpiji ili kurejesha mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Pwani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani