Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATATIZO YANAYOMFANYA MWANAMKE ASIPATE UJAUZITO HARAKA-2

Leo naendelea na mada niliyoanza wiki iliyopita, kuhusiana na matatizo yanayowafanya wanawake wasipate ujauzito haraka. Suala la kufahamu mzunguko wa hedhi, siku za kupata mimba linawahusu wote wawili, mume na mke.
Matatizo ya kisaikolojia kwa mwanaume na mwanamke na unene kupita kiasi pia huchangia tatizo hili. DALILI ZA TATIZO
Kama tulivyoona, kitendo cha mwanamke na mumewe kukaa zaidi ya mwaka wanatafuta mtoto ni tatizo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ELEWA SABABU ZINAZOMFANYA MWANAMKE ASIPATE MIMBA!

Wanawake wengi wanataka niwaeleze kitaalam sababu za kutopata mimba. Zipo sababu nyingi zinazoweza kumfanya mwanamke asipate ujauzito. Miongoni mwa sababu hizo ni kuwa na tatizo la mfumo wa homoni katika mwili wa mwanamke ambapo hutawaliwa na homoni hizo ambazo kemikali za asili zimo ndani ya mwili.
Yakitokea mabadiliko kidogo wakati wa uzalishaji wa homoni hizo huweza kusababisha mwanamke ashindwe kupata mimba. Lipo tatizo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Matatizo ya ujauzito yanayoendana na umri

Kwa miaka mingi, wataalamu wengi wa afya ya uzazi bado wanaamini miaka 20 hadi 35 ndio umri sahihi kushika mimba na kujifungua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fanya haya kupata ujauzito haraka

BAADA ya kufanya maandalizi ya muda mrefu kujiweka tayari kwa ajili ya kupata ujauzito na kuwa mzazi, umewadia wakati wa kuutafuta huo ujauzito kwa vitendo. Kuna mambo mengi sana yanayosemwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unayotakiwa kufanya ili kupata ujauzito haraka — 2

WIKI iliyopita tuliangalia baadhi ya mambo unayotakiwa kuyafanya ili uweze kupata ujauzito kwa haraka. Leo tuendelee kuangalia jambo moja mahususi, nalo ni siku nzuri hasa ya kufanya mapenzi ili upate...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete: Matatizo daraja Kigamboni yatatuliwe haraka

 Rais Jakaya Kikwete ametembelea daraja la Kigamboni, Dar es Salaam jana na kuagiza changamoto zilizoanishwa zitatuliwe haraka kabla mradi haujakamilika.

 

10 years ago

Mwananchi

Siku za mwanamke kupata ujauzito

Swali: Mimi ni binti wa miaka 21 ambaye ninapata siku zangu kila tarehe 15 ya kila mwezi. Nimekuwa nikitumia njia ya kalenda katika kujiepusha na mimba zisizotarajiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUDAIWA KUTOA MIMBA 2 . PENNY: DIAMOND HANA UWEZO WAKUPA MWANAMKE UJAUZITO

BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba.CHANZO CHA YOTEAkizungumza na GlobalTV Online kwenye ofisi za gazeti hili Bamaga-Mwenge jijini Dar, hivi karibuni, Diamond alifunguka: “Nilimpa (Penny) mimba ya kwanza, sikuamini ikabidi twende naye hospitalini tukapime, akaambiwa anayo…nikafurahi...

 

11 years ago

Habarileo

Unyonyeshaji hufanya mama asipate ujazito

UNYONYESHAJI wa maziwa ya mama kikamilifu umeelezwa na wataalamu unasaidia mama asipate ujauzito mwingine mapema.

 

11 years ago

GPL

TUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI

Mgeni rasmi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akihutubia kabla ya kukabidhi tuzo. Na Luqman Maloto Mwanamke wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani