Bunge lataka mgogoro Bukoba uishe
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Benadetha Mshashu, ameitaka wizara husika kuhakikisha inasimamia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa uongozi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Kanisa lataka Bunge Maalum livunjweÂ
ASKOFU wa Kanisa la Methodist Jimbo la Dodoma, Joseph Bundala, amemtaka Rais Jakaya Kikwete, kuvunja Bunge Maalum la Katiba kwakuwa umekosekana mwafaka wa pande mbili zinazovutana. Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Bunge lataka madeni TTCL yalipwe
KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imewataka wanaodaiwa katika Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kulipa madeni yao kwa wakati, ili iweze kujiendesha kwa ufanisi zaidi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
11 years ago
Habarileo31 Jan
Bunge lataka daraja Kigamboni haraka
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelitaka Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuharakisha kukamilisha ujenzi wa daraja la Kigamboni, ili kutoa nafasi kwa Rais Jakaya Kikwete kulifungua. Aidha NSSF na Wakala wa Barabara (Tanroads), wametakiwa kuungana kujadili namna ya kukabiliana na changamoto ya foleni katika barabara kadhaa baada ya kukamilika kwa daraja hilo.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Bunge la US lataka Ukraine ipewe Silaha
10 years ago
Habarileo01 Nov
Bunge lataka miundombinu DART ilindwe
KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa agizo kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuharakisha kufanya makubaliano na Jeshi la Polisi nchini ili kuunda kikosi maalumu cha ulinzi wa miundombinu ya mradi huo ambayo imekuwa ikihujumiwa na baadhi ya watu.
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Bunge lataka Ewura ipunguze bei ya mafuta
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Bunge Nigeria lataka Shell ilipe fidia
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Mgogoro wa Bukoba wakuzwa
WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa ameutanzua mgogoro wa umeya katika Manispaa ya Bukoba, uliodumu kwa zaidi ya miaka miwili, limeibuka kundi la watu wanaojiita Friends of Bukoba wakimshauri aifute...
5 years ago
Habarileo16 Feb
Bunge lataka maji Dodoma yapatikane kwa saa 24
KATIKA kuhakikisha dhima ya serikali kuhamia Dodoma inakamilika, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (Duwasa) kuongeza muda wa kupatikana maji kwa wateja kwa saa 24.