Dk Bilal aagiza umeme wa upepo uzalishwe haraka
Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na wawekezaji wa umeme wa upepo washirikiane kuhakikisha mradi wa kufua umeme kwa upepo unaanza haraka iwezekanavyo. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Aug
JK aagiza uhakiki mipaka uishe haraka
RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza mamlaka zote za uhakiki wa mipaka na uwekaji mawe katika Mpaka wa Kimataifa wa Tanzania na Burundi na mipaka na nchi nyingine, kukamilisha kazi hiyo mapema iwezekanavyo.
11 years ago
Habarileo14 Apr
Magufuli aagiza matengenezo ya haraka Daraja la Mpiji
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametaka watendaji wa Wakala wa Barabara (Tanroads), kuharakisha matengenezo ya barabara karibu na Daraja la Mpiji ili kurejesha mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Pwani.
9 years ago
Habarileo27 Aug
Umeme wa upepo wajaribiwa Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeanza majaribio ya umeme wa nishati mbadala ya upepo katika vijiji tisa, vinavyotekeleza mradi huo unaolenga kutoa nafuu kwa wananchi.
9 years ago
Mwananchi18 Oct
ACT waahidi kuzalisha umeme wa upepo
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Mradi wa umeme wa upepo Singida ‘waudhi’ wananchi
Baadhi ya wakazi wa kata ya Kisaki manispaa ya Singida waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania, Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akizindua mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.
Na Jumbe Ismail, Singida
SIKU chache tu baada ya Makamu wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilali kuweka jiwe la msingi la...
10 years ago
Habarileo11 Jun
Waziri Mkuya lawamani ‘kuzima’ umeme wa upepo
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya juzi ameonja joto ya jiwe kutoka kwa wabunge kutuhumiwa ‘kuuzima’ utekelezaji wa mradi wa umeme wa upepo wa Singida unaogharimu Dola za Marekani milioni 133 sawa na Sh bilioni 266.
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Dola milioni 136 kutumika mradi umeme wa upepo
DOLA milioni 136 za Marekani zitatumika katika mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu za upepo kwa awamu ya kwanza ya uzalishaji wa MW 50 mkoani Singida. Fedha hizo pia...
10 years ago
Habarileo09 Mar
Mradi umeme wa upepo kutumia dola mil.132
MKUU wa Kitengo cha Miundombinu na Nishati kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) , Pascal Malesa amesema serikali inatarajia kutumia Dola za Marekani milioni 132 kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo wenye uwezo wa Megawati 50 ifikapo mwakani.