Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuya lawamani ‘kuzima’ umeme wa upepo

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya juzi ameonja joto ya jiwe kutoka kwa wabunge kutuhumiwa ‘kuuzima’ utekelezaji wa mradi wa umeme wa upepo wa Singida unaogharimu Dola za Marekani milioni 133 sawa na Sh bilioni 266.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tanesco lawamani ,yakata umeme bila taarifa

Tatizo la kukatika kwa umeme, imekuwa kero katika maeneo mbalimbali ya nchi na lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).

 

9 years ago

Habarileo

Umeme wa upepo wajaribiwa Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeanza majaribio ya umeme wa nishati mbadala ya upepo katika vijiji tisa, vinavyotekeleza mradi huo unaolenga kutoa nafuu kwa wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT waahidi kuzalisha umeme wa upepo

Mgombea urais wa ACT- Wazalendo Anna Mghwira, ameahidi kuutumia upepo wa Mkoa wa Singida kuzalisha umeme wa uhakika.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Bilal aagiza umeme wa upepo uzalishwe haraka

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na wawekezaji wa umeme wa upepo washirikiane kuhakikisha mradi wa kufua umeme kwa upepo unaanza haraka iwezekanavyo.     

 

9 years ago

Dewji Blog

Mradi wa umeme wa upepo Singida ‘waudhi’ wananchi

IMG_6587

Baadhi ya wakazi wa kata ya Kisaki manispaa ya Singida waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa.

IMG_6596

Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania, Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akizindua mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

Na Jumbe Ismail, Singida

SIKU chache tu baada ya Makamu wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilali kuweka jiwe la msingi la...

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI WA UMEME WA UPEPO SINGIDA

 Meneja wa Mradi, Mhandisi. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida, mbele yake ni kiongozi wa timu hiyo Mhandisi. Happiness Mgalula, ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Meneja wa Mradi, Mha. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida.  Mhandisi Malesa akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dola milioni 136 kutumika mradi umeme wa upepo

DOLA milioni 136 za Marekani zitatumika katika mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu za upepo kwa awamu ya kwanza ya uzalishaji wa MW 50 mkoani Singida. Fedha hizo pia...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi umeme wa upepo kutumia dola mil.132

MKUU wa Kitengo cha Miundombinu na Nishati kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) , Pascal Malesa amesema serikali inatarajia kutumia Dola za Marekani milioni 132 kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo wenye uwezo wa Megawati 50 ifikapo mwakani.

 

9 years ago

Dewji Blog

Umeme wa upepo mbioni Mkoani Singida, mradi mkubwa utakaonufaisha Taifa

IMG_6596

Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania, Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akizindua mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

IMG_6602

Makamu wa rais wa jamhuri ya muungano Tanzania,Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akipanda mti ikiwa ni kwa ajili ya kumbukumbu ya uzindua wa mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

IMG_6605

Afisa mwandamizi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani