Tanesco lawamani ,yakata umeme bila taarifa
Tatizo la kukatika kwa umeme, imekuwa kero katika maeneo mbalimbali ya nchi na lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM30 Oct
WANANCHI WAILALAMIKIA TANESCO KUKATA UMEME BILA TAARIFA
Tatizo la kukatika kwa umeme, imekuwa kero katika maeneo mbalimbali hapa nchini na lawama nyingi kutoka kwa wananchi zimekuwa zikielekezwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Maeneo mengi yamekumbwa na kero hiyo tangu wiki iliyopita mpaka jana huku wahusika wakishindwa kutoa taarifa ya nini kinachosababisha kero hiyo ya kukatika kwa umeme.
Hata hivyo Afisa habari wa TANESCO,Adrian Sevelin akizungumza na Clouds FM leo asubuhi alisema kuwa hali inatokana na matengenezo wanayofanya ikiwemo...
9 years ago
StarTV17 Aug
Wakazi Mbeya wailalamikia TANESCO kwa kukata Umeme bila taarifa.
Shirika la Umeme nchini TANESCO mkoa wa Mbeya limelalamikiwa na wananachi juu ya hatua yake ya kukata umeme kwa taarifa na kuirejesha huduma hiyo bila taarifa hali inayochangia kuharibu vifaa vya umeme majumbani na ofisini.
Malalamiko ya wananchi hao yamekuja katika kipindi hiki ambapo kumekuwa na matukio ya mara kwa mara ya majengo kuteketea kwa moto katika maeneo mbali mbali nchini matukio ambayo yamekuwa yakihusishwa na hitilafu ya umeme.
Tatizo la kukatika mara kwa mara kwa huduma ya...
9 years ago
GPL18 Sep
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA
11 years ago
Habarileo10 Apr
Tanesco lawamani kwa kuchelewesha haki ya mtumishi wake
HASSAN Jambia mfanyakazi wa zamani wa Shirika la umeme aliyeachishwa kazi na baadaye akashinda kesi amelilalamikia Shirika la Umeme (Tanesco) kwa kugoma kumlipa fedha zake licha ya kushinda kesi katika mahakama zote.
10 years ago
Habarileo11 Jun
Waziri Mkuya lawamani ‘kuzima’ umeme wa upepo
WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya juzi ameonja joto ya jiwe kutoka kwa wabunge kutuhumiwa ‘kuuzima’ utekelezaji wa mradi wa umeme wa upepo wa Singida unaogharimu Dola za Marekani milioni 133 sawa na Sh bilioni 266.
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tanesco yapandisha bei ya umeme
10 years ago
Habarileo22 Mar
Mitambo ya umeme ‘yaitafuna’ Tanesco
MITAMBO ya kufua umeme inayotumia mafuta kwa ajili ya kufua umeme nchini, imetajwa kuwa kikwazo katika maendeleo ya Taifa, kutokana na kutumia rasilimali fedha za kigeni nyingi katika kuzalisha nishati hiyo nchini, ambayo ingeweza kutumika katika maendeleo.
9 years ago
Habarileo07 Dec
TPC yaidai Tanesco bilioni 2.9 za umeme
KIWANDA cha Uzalishaji Sukari (TPC) Ltd cha Moshi mkoani Kilimanjaro kinalidai Shirika la Umeme nchini (Tanesco) zaidi ya Sh bilioni 2.9 kama fedha za kuwauzia umeme unaozalishwa hapo na kuingizwa katika Gridi ya Taifa.