Wakazi Mbeya wailalamikia TANESCO kwa kukata Umeme bila taarifa.
Shirika la Umeme nchini TANESCO mkoa wa Mbeya limelalamikiwa na wananachi juu ya hatua yake ya kukata umeme kwa taarifa na kuirejesha huduma hiyo bila taarifa hali inayochangia kuharibu vifaa vya umeme majumbani na ofisini.
Malalamiko ya wananchi hao yamekuja katika kipindi hiki ambapo kumekuwa na matukio ya mara kwa mara ya majengo kuteketea kwa moto katika maeneo mbali mbali nchini matukio ambayo yamekuwa yakihusishwa na hitilafu ya umeme.
Tatizo la kukatika mara kwa mara kwa huduma ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM30 Oct
WANANCHI WAILALAMIKIA TANESCO KUKATA UMEME BILA TAARIFA
Tatizo la kukatika kwa umeme, imekuwa kero katika maeneo mbalimbali hapa nchini na lawama nyingi kutoka kwa wananchi zimekuwa zikielekezwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Maeneo mengi yamekumbwa na kero hiyo tangu wiki iliyopita mpaka jana huku wahusika wakishindwa kutoa taarifa ya nini kinachosababisha kero hiyo ya kukatika kwa umeme.
Hata hivyo Afisa habari wa TANESCO,Adrian Sevelin akizungumza na Clouds FM leo asubuhi alisema kuwa hali inatokana na matengenezo wanayofanya ikiwemo...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Tanesco lawamani ,yakata umeme bila taarifa
11 years ago
Habarileo12 Feb
Wakazi 200 Dar waitaka TANESCO ishushe bei ya umeme
UMOJA wa wakazi zaidi ya 200 wa Dar es Salaam wametoa siku kumi kwa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), pamoja na vyombo vingine vya maamuzi, kubatilisha maamuzi yake juu ya bei mpya ya umeme na irejeshwe bei iliyokuwepo.
9 years ago
GPL18 Sep
9 years ago
StarTV18 Nov
Wakazi Isunga Nzega wailalamikia Serikali Ubinafsishaji Mgodi Wa Kijiji
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Isunga wilayani Nzega mkoani Tabora wanaojihusisha na uchimbaji mdogo wa dhahabu wameilalamikia Serikali ya kijiji kwa kutaka kuubinafsisha mgodi huo kwa kampuni ya uwekezaji ya Duva bila kutoa taarifa rasmi kwa wananchi.
Hofu hiyo inakuja baada ya kuona kampuni ya Duva ikiingia mkataba na kijiji hicho wa kuchenjua mchanga wa dhahabu bila wananchi kupewa taarifa kama sheria za Serikali za mitaa zinavyoelekeza.
Shuguli kubwa za kiuchumi katika kijiji hicho ni...
10 years ago
Habarileo05 Dec
Tanesco yafafanua kukatika kwa umeme
SHIRIKA la Umeme Nchini (Tanesco) limetoa sababu ya kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali nchini katika kipindi cha Novemba 26 hadi Desemba Mosi.
9 years ago
StarTV12 Nov
Tanesco yasema kukatika kwa umeme kwa baadhi ya mikoa yatokana na hitilafu.
Shirika la umeme tanesco lamesema kukatika kwa umeme katika baadhi ya mikoa nchini kumesababishwa na hitilafu katika kituo kidogo cha kupoozea umeme wa gridi ya taifa kilichoko mkoani singida
Meneja wa tanseco mkoa wa singida gamba mahugila amesema hitilafu hiyo imetokea leo asubuhi na kusababisha kukatika kwa umeme katika mikoa ya singida, tabora, mwanza, mara, manyara, geita na sehemu ya mkoa wa arusha
Amesema tayari mafundi wa tanesco wanaendelea na matengenezo yaliyoanza saa tano asubuhi...
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Tanesco wajivunia uzalishaji wa umeme kwa maji
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Tanesco: Uzalishaji wa umeme umeshuka kwa asilimia 81