Mahakama yaaachia huru vigogo wa MUWSA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Moshi imewaachia huru washtakiwa wawili waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya ufisadi, akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Moshi (MUWSA), Anthony Kasonta. Mwingine aliyeachiliwa ni aliyekuwa Kaimu Meneja wa Fedha na Utawala wa mamlaka hiyo, John Ndetiko.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania