Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi MUWSA walia na ufisadi

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Maji Safi Moshi (MUWSA), wamemtaka Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, kuunda timu itakayochunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma yanayofanywa na menejimenti ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI MUWSA ,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AWAAGA WAFANYAKAZI,NI BAADA YA KUHAMISHIWA DAWASCO.

Aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshu (MUWSA) mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa kauli ya kuwaaga baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya Mtendaji mkuu  DAWASCO.Kauli ya Mhandisi Luhemeja ya kuwaaga wafanyakazi hao ilionekana kama mwiba na kuzua simanzi kuu kwa watumishi hao waliofanya kazi na mkurugenzi huyo kwa kipindi cha mwaka mmoja na miezi 10.
Mhandisi Luhemeja akijaribu kuwapatia...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi Tanesco, Wachina kizimbani kwa tuhuma za ufisadi

Bukoba.Wafanyakazi wawili wa Tanesco na raia wawili wa China wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Kagera kwa tuhuma za  kutenda makosa kumi na sita na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja.

 

10 years ago

Vijimambo

Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL

Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemelaMadudu zaidi yameendelea kuibuka katika sakata la mabehewa feki 274 yaliyonunuliwa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), na sasa imebainika kuwa kampuni iliyopewa zabuni ya kuleta mabehewa hayo ndiyo iliyokuwa ya bei ya juu zaidi kuliko kampuni 10 zilizokuwa zimeomba na haikuweka dhamana yoyote kama sheria ya manunuzi inavyotaka.

Aidha, imebainika pia kuwa ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi Muwsa atoa siku 90

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (Muwsa), Joyce Msiru ametoa siku 90 za utekelezaji wa malengo saba ya mamlaka hiyo, ikiwamo kupunguza kiwango cha maji yanayopotea hadi kufikia wastani wa asilimia 22 kwa mwaka 2015/2016.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi wa Muwsa aachiwa huru

Mahakama imemwachia huru mkurugenzi mtendaji wa zamani wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira wa Mji wa Moshji (Muwsa), Anthony Kasonta aliyekuwa anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.


Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru.  Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani,  Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dar

DSC_0566

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0576

Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, wakikimbia katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa,jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0577

Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi wakitoa...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UCHUKUZI WASHEREHEA VEMA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KITAIFA JIJINI DAR

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani