Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENZI MUWSA ,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AWAAGA WAFANYAKAZI,NI BAADA YA KUHAMISHIWA DAWASCO.

Aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshu (MUWSA) mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa kauli ya kuwaaga baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya Mtendaji mkuu  DAWASCO.Kauli ya Mhandisi Luhemeja ya kuwaaga wafanyakazi hao ilionekana kama mwiba na kuzua simanzi kuu kwa watumishi hao waliofanya kazi na mkurugenzi huyo kwa kipindi cha mwaka mmoja na miezi 10.
Mhandisi Luhemeja akijaribu kuwapatia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

OFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AAGA RASMI MUWSA.

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,( MUWSA ) ambaye kwa sasa ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco,Mhandisi Cyprian Luhemeja akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Patrick Kibasa ,karatasi zenye ndoto za wafanyakazi wa Mamlaka hiyo hukuakimtaka kuzifanyia kazi.Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao maalumu kwa ajili ya kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo.Ofisa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi wa Muwsa aachiwa huru

Mahakama imemwachia huru mkurugenzi mtendaji wa zamani wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira wa Mji wa Moshji (Muwsa), Anthony Kasonta aliyekuwa anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi Muwsa atoa siku 90

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (Muwsa), Joyce Msiru ametoa siku 90 za utekelezaji wa malengo saba ya mamlaka hiyo, ikiwamo kupunguza kiwango cha maji yanayopotea hadi kufikia wastani wa asilimia 22 kwa mwaka 2015/2016.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi MUWSA walia na ufisadi

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Maji Safi Moshi (MUWSA), wamemtaka Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, kuunda timu itakayochunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma yanayofanywa na menejimenti ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mkurugenzi, Meneja wa Maji Dawasco watakiwa kujitathmini

NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla amewataka watendaji wakuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (Dawasco), Mkurugenzi wa Maji na Meneja wa Maji kujitathmini na kuona kama wanafaa kufanya kazi hiyo ama waachie nafasi zao.

 

5 years ago

Michuzi

UTEUZI; MHANDISI TAMIMU TWAHA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA, MOROGORO

WAZIRI wa Maji, Prof. Makame Mbarawa (Mb) amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi  na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA).
Taarifa ya Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo imemtaja aliyeteuliwa kuwa ni Mhandisi Tamimu Twaha Katakweba. Aidha, kufuatia uteuzi huu Mhandisi Katakweba anakuwa Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi wa MORUWASA.  
Uteuzi huu umefanyika chini ya Sheria Namba 5 ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019.  Kitengo cha...

 

10 years ago

Michuzi

Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Uteuzi huo umeanza Jumapili iliyopita, Juni 28, 2015. Taarifa ya kuthibitisha uteuzi huo iliyotolewa Ikulu, Dar es salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) leo, Jumanne, Juni 30, 2015, inasema kuwa kabla ya uteuzi  wake Mhandisi Ngonyani alikuwa Mkaguzi Mkuu wa Migodi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mgombea mwenza, Samia Suluhu, awaaga na kuwashukuru wafanyakazi wenzake ofisi ya Makamu wa Rais

 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati  wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru  wafanyakazi wenzake.  uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam. Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani