Waziri Kitwanga aikimbia orodha ya wauza unga
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amepata kigugumizi kuweka hadharani orodha ya majina ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya, licha ya kuliagiza Jeshi la Polisi limpatie.
Amesema hata akiwa na orodha hiyo, haitasaidia kukomesha biashara ya dawa za kulevya na badala yake wameunda mfumo utakaosaidia kudhibiti dawa hizo kuingizwa nchini.
Waziri Kitwanga, alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana, muda mfupi baada ya kumalizika kikao chake na maofisa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo22 Dec
Kitwanga asema hana orodha ya wauza mihadarati
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amesema hana orodha ya majina ya watu wanaouza dawa za kulevya na hana muda wa kushughulika na hiyo inayoitwa orodha. Badala yake, amesema chini ya uongozi wake ataweka mifumo itakayosaidia kudhibiti uingizaji wa dawa hizo nchini. Akizungumza jana na waandishi wa habari Dar es Salaam baada ya kufanya kikao na maofisa wa ngazi ya juu wa Polisi, Kitwanga alisema wamekubaliana kuhakikisha dawa za kuleya zilizoko nchini zinakamatwa na kuteketezwa.
9 years ago
MichuziORODHA YA WAUZA DAWA ZA KULEVYA HAINISADII-KITWANGA
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya
Dec 21 2015 Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuweka wazi mikakati waliojiwekea kama Wizara pamoja na Jeshi la Polisi katika kupambana na dawa za kulevya, ugaidi na kesi za kubambikiwa. Hii ni baada ya kukamilisha ziara zake alizozifanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo ofisi za Jeshi la Polisi. […]
The post Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi27 Jun
JK: Wauza unga hawatanyongwa
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Vigogo wauza unga wakamatwa
Na Makongoro Oging’, UWAZI
DAR ES SALAAM: WALE vigogo wanaosadikiwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya ‘unga’ nchini wameanza ‘kutumbuliwa majipu’ kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania Kitengo cha Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola kuanza kuwakamata, Uwazi linakupa zaidi.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu ndani ya jeshi hilo, vigogo wengi wanaojihusisha na biashara hiyo walikamatwa wiki iliyopita katika maeneo ya Kinondoni, Ilala na...
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Wakanusha wauza ‘unga’ kunyongwa
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Siku za ‘wauza unga’ China zahesabika
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Ujumbe wa simanzi wa wauza ‘unga’ China
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Serikali yalaumiwa kuwaficha wauza ‘unga’
SERIKALI imelaumiwa kwa kushindwa kuyaweka hadharani majina ya vigogo wanaojihusisha na dawa ya kulevya. Lawama hizo zilitolewa mjini hapa jana na Padri Baptisti Mapunda wa Shirika la White Fathers la...