Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya
Dec 21 2015 Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuweka wazi mikakati waliojiwekea kama Wizara pamoja na Jeshi la Polisi katika kupambana na dawa za kulevya, ugaidi na kesi za kubambikiwa. Hii ni baada ya kukamilisha ziara zake alizozifanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo ofisi za Jeshi la Polisi. […]
The post Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziORODHA YA WAUZA DAWA ZA KULEVYA HAINISADII-KITWANGA
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Waziri Charles KITWANGA kwenye hizi sentesi 4>>> dawa za kulevya, ugaidi, kesi bandia…
Leo Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga leo amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam. Baada ya kufanya ziara katika maeneo mbalimbali ya ofisi za Jeshi la Polisi kikubwa alichuzungumza ni kuhusu ugaidi, ubambikaji kesi kwa wananchi, matumizi ya TEHAMA pamoja na madawa ya kulevya. Mikakati ya kupambana na dawa za kulevya hapa […]
The post Waziri Charles KITWANGA kwenye hizi sentesi 4>>> dawa za kulevya, ugaidi, kesi bandia… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Waziri Kitwanga aikimbia orodha ya wauza unga
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amepata kigugumizi kuweka hadharani orodha ya majina ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya, licha ya kuliagiza Jeshi la Polisi limpatie.
Amesema hata akiwa na orodha hiyo, haitasaidia kukomesha biashara ya dawa za kulevya na badala yake wameunda mfumo utakaosaidia kudhibiti dawa hizo kuingizwa nchini.
Waziri Kitwanga, alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana, muda mfupi baada ya kumalizika kikao chake na maofisa...
9 years ago
StarTV22 Dec
Waziri Kitwanga kuwashughulikia wahusika madawa ya kulevya.
Waziri wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga amesema hataogopa kushughulika na mtu au kundi lolote litakalobainika kuhusika na biashara ya dawa za kulevya na kuliagiza jeshi la polisi kuboresha mfumo utakaovunja mtandao wa biashara hiyo, bila kujali nguvu za kifedha ama mamlaka waliyonayo.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari, baada ya kikao na viongozi waandamizi wa jeshi la polisi jijini Dar es salaam ambapo akaagiza kuwepo kwa mfumo madhubuti utakawatia wote nguvuni.
Amesema,...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
DC ahimiza vita dawa za kulevya
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-dI8gMycZHwg/XvbdO0PlWOI/AAAAAAAAW-M/SUyWNXMoyYIGsPMeo32y-5cf6FCH4RrbwCLcBGAsYHQ/s72-c/43d74742625e4e1b76d8c2719613fd88.jpg)
SIKU YA KUPINGA VITA DAWA ZA KULEVYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-dI8gMycZHwg/XvbdO0PlWOI/AAAAAAAAW-M/SUyWNXMoyYIGsPMeo32y-5cf6FCH4RrbwCLcBGAsYHQ/s400/43d74742625e4e1b76d8c2719613fd88.jpg)
Akizungumizia maadhimisho hayo na mafanikio yaliyopatikana Waziri wa nchi ofisi ya waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu Jenista Mhagama anasema mafanikio hayo yamepatikana baada ya kubaini na kuvunja mitandao hiyo hapa nchini...
11 years ago
Mwananchi27 Jun
MAONI: Vita dhidi ya dawa za kulevya ni ya ‘kisanii’
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Waziri atangaza vita na wauza nyama, machinjio
5 years ago
MichuziSERIKALI IMEFANIKIWA KATIKA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA KWA ASILIMIA 90
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akikata utepe leo kuashiria uzinduzi wa kliniki ya Methadone katika Hospitali ya Bombo jijini Tanga.Kliniki hiyo imejengwa kwa thamani ya Sh milioni 17.Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigela na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) James Kaji.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akikata utepe leo kuashiria uzinduzi wa...