Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI IMEFANIKIWA KATIKA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA KWA ASILIMIA 90


Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akikata utepe leo kuashiria uzinduzi wa kliniki ya Methadone katika Hospitali ya Bombo jijini Tanga.Kliniki hiyo imejengwa kwa thamani ya Sh milioni 17.Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigela na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) James Kaji.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akikata utepe leo kuashiria uzinduzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Vita dhidi ya dawa za kulevya ni ya ‘kisanii’

>Tanzania jana iliungana na mataifa mengine duniani katika kuadhimisha siku ya kupiga vita matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Sera, sheria dhaifu, rushwa ni kikwazo katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini

drug injection

 

Mtumiaji wa kujinduga akitumia dawa hizo.

mtumiaji 2

Baadhi ya watumiaji wa dawa za kulevya wakihudhuria moja semina zinazoendeshwa nchini.

Na Damas Makangale, Makangale Satellite Blog

“Kila mwaka idadi ya watumiaji wa dawa za kulevya nchini hasa kwa vijana wenye umri mdogo kabisa kati ya miaka 15 mpaka 25 inakadiliwa kufika 10,000 hadi 11,000 kila mwaka nchini ni idadi kubwa na hali inatisha,’ anasema Afisa kutoka Kitengo cha Kudhibiti dawa za kulevya nchini, Moza Makumbuli

Wiki iliyopita Kitengo...

 

11 years ago

Mwananchi

DC ahimiza vita dawa za kulevya

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana amezitaka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali kuongeza mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa vijana mkoani Dar es Salaam.

 

5 years ago

CCM Blog

SIKU YA KUPINGA VITA DAWA ZA KULEVYA

   Wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya kimataifa ya kupiga vita dawa za Kulevya, kwa kipindi cha takribani miaka mitano Tanzania imefanikiwa kupunguza uingizwaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 huku zaidi ya watuhumiwa elfu 70 wakikamatwa.
Akizungumizia maadhimisho hayo na mafanikio yaliyopatikana Waziri wa nchi ofisi ya waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu Jenista Mhagama anasema mafanikio hayo yamepatikana baada ya kubaini na kuvunja mitandao hiyo hapa nchini...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAJIDHATITI KUIUNGA MKONO SERIKALI KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA

 Meneja Mkuu wa Benki ya Exim tawi la Arusha Bw. Fredrick Umiro (kulia) akikabidhi vyandarua vyenye dawa kwa Mtaalamu wa masuala ya upasuaji katika hospitali ya  Mount Meru iliyopo jijini Arusha,  Dkt. Zubera Mtengwa (wa pili kushoto).Wakishuhudia pembeni ni Meneja Mauzo wa benki ya Exim Arusha Bw Bw. Assed Ali Naqvi (kushoto)na wawakilishi kutoka hospitali hiyo.Msaada huo ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani inayoadhimishwa kote ulimwenguni Aprili 25 ya kila mwakaMganga Mkuu...

 

9 years ago

MillardAyo

Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya

Dec 21 2015 Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuweka wazi mikakati waliojiwekea kama Wizara pamoja na Jeshi la Polisi katika kupambana na dawa za kulevya, ugaidi na kesi za kubambikiwa. Hii ni baada ya kukamilisha ziara zake alizozifanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo ofisi za Jeshi la Polisi. […]

The post Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Habarileo

Dk Sharjak azungumzia ushindi dhidi ya dawa za kulevya

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk Omar Dadi Sharjak amesema elimu kuhusu athari za dawa za kulevya na njia za kupambana nazo imepata mafanikio makubwa katika kudhibiti biashara ya dawa hizo na matumizi yake.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA KUFANYIKA DAR

Mkurugenzi wa Zion Foundation,  Junior Zion,  na mratibu wa tamasha, Karen Dolah,  wakizungumza mbele ya waandishi wa habari ( hawapo pichani).
Waandishi wa habari wakiwasikiliza viongozi wa Zion Foundation.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani