Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU YA KUPINGA VITA DAWA ZA KULEVYA

   Wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya kimataifa ya kupiga vita dawa za Kulevya, kwa kipindi cha takribani miaka mitano Tanzania imefanikiwa kupunguza uingizwaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 huku zaidi ya watuhumiwa elfu 70 wakikamatwa.
Akizungumizia maadhimisho hayo na mafanikio yaliyopatikana Waziri wa nchi ofisi ya waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu Jenista Mhagama anasema mafanikio hayo yamepatikana baada ya kubaini na kuvunja mitandao hiyo hapa nchini...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI YALIYOFANYIKA BAGAMOYO, MKOANI PWANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Bw. Keneth Kaseke, Kamishna wa Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya, kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani Ijumaa. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Suleiman Rashid na wa Pili Kulia ni Dkt Bwijo Bwijo wa UNDP.Rais Kikwete na meza ku wakipokea Maandamano kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani mjini Bagamoyo mkoa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

DC ahimiza vita dawa za kulevya

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana amezitaka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali kuongeza mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa vijana mkoani Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Vita dhidi ya dawa za kulevya ni ya ‘kisanii’

>Tanzania jana iliungana na mataifa mengine duniani katika kuadhimisha siku ya kupiga vita matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya.

 

9 years ago

MillardAyo

Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya

Dec 21 2015 Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuweka wazi mikakati waliojiwekea kama Wizara pamoja na Jeshi la Polisi katika kupambana na dawa za kulevya, ugaidi na kesi za kubambikiwa. Hii ni baada ya kukamilisha ziara zake alizozifanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo ofisi za Jeshi la Polisi. […]

The post Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI IMEFANIKIWA KATIKA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA KWA ASILIMIA 90


Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akikata utepe leo kuashiria uzinduzi wa kliniki ya Methadone katika Hospitali ya Bombo jijini Tanga.Kliniki hiyo imejengwa kwa thamani ya Sh milioni 17.Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigela na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) James Kaji.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akikata utepe leo kuashiria uzinduzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Habarileo

JK mgeni siku ya dawa za kulevya

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani, yatakayo fanyika kitaifa kesho, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

11 years ago

Mwananchi

Siku 120 za mapambano ya dawa za kulevya

>Huenda mwaka huu ukavunja rekodi ya kuwakamata watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya kwani ndani ya siku 120, Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kimekamata kilo 238 za aina mbalimbali za dawa hizo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wasafirishaji na wauzaji dawa za kulevya siku zako zinahesabika — JK

FSA_8754

Rais Jakaya Kikwete akisalimia na Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe wakati  akiingia katika uwanja wa Julius Nyerere International Airport (JNIA) kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria jijini Dar es Salaam.

.asema kama Rais wa nchi inamuuma sana kwa taifa kuwa uchochoro wa dawa hizo

.Rais asema watumishi wanaojihusisha na dawa za kulevya kuondolewa mara moja

.TAA watengeneza jengo jipya la abiria lenye mifumo ya kimataifa

Na Damas Makangale,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani