MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI YALIYOFANYIKA BAGAMOYO, MKOANI PWANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Bw. Keneth Kaseke, Kamishna wa Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya, kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani Ijumaa. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Suleiman Rashid na wa Pili Kulia ni Dkt Bwijo Bwijo wa UNDP.Rais Kikwete na meza ku wakipokea Maandamano kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani mjini Bagamoyo mkoa wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA KUPIGA VITA MADAWA YA KULEVYA DUNIANI MJINI BAGAMOYO
10 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KUFANYIKA KITAIFA MKOANI NJOMBE.
11 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 0 1- 05 JUNI, 2014, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.
Mhe. Ernest Ndikilo akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Mwaza anapenda kuwafahamisha ya kwamba, siku ya madhimisho ya mazingira Duniani, hufanyika kuanzia tarehe 01 hadi 05 ya mwezi Juni, kwa kila Mwaka. Kwa mwaka 2014 shirika la Umoja wa mataifa linalo shughulikia mazingira limetangaza Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kuwa ni “RAISE YOUR VOICE BUT NOT THE SEAL LEVEL” kwa tafsiri ni “CHUKUA HATUA KUKABILIANA NA TABIANCHI na kitaifa” TUNZA MAZINGIRA ILI...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI MWAKA 2015 KUFANYIKA KITAIFA DESEMBA MOSI MKOANI SINGIDA
Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk.Fatma Mrisho (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka 2015 yatakayofanyika kitaifa Desemba Mosi mkoani Singida. Kulia ni Mkurugenzi wa Habari na Uraghibishi.
Na Dotto Mwaibale
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi nchini yameongezeka kwenye kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 19 mpaka 24 tofauti na ilivyokuwa miaka minne...
9 years ago
VijimamboMH. ISSA USI GAVU AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI UNAOFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA
5 years ago
CCM BlogMAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIVYORINDIMA KITAIFA MBELE YA MAMA SAMIA WILAYANI BARIADI MKOANI SIMIYU, LEO
Wanawake wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika Kitaifa yakiongozwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika Uwanja wa Halmashauri Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo....
9 years ago
MichuziProf. Ole Gabriel mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ISSA USI GAVU AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI UNAOFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA LEO MCHANA