Prof. Ole Gabriel mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyevaa suti akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni Prof. Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia akiongea na wanahabari katika maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziProfesa Elisante Ole Gabriel mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya Awali ya Sunrise jijini Dar
11 years ago
Dewji Blog28 Apr
Makamu wa rais mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya usalama na afya duniani, katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo April 28-2014, kwa ajili ya kuhutubia wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya usalama na Afya Duniani.
Afisa mkuu mwandamizi wa mazingira katika mamlaka ya Bandari Thobias Sonda akimpa maelezo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, juu ya utumiaji wa vifaa vya...
11 years ago
MichuziMAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIYOANDALIWA NA 8020 Fashions
10 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI YALIYOFANYIKA BAGAMOYO, MKOANI PWANI
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR
10 years ago
GPLMAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziMAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI YAFANA JIJINI DAR LEO
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Mary's ya Mazinde Juu iliyopo mkoani Tanga wameibuka vinara wa shindano la uandishi wa barua lililoshirikisha wanafunzi wa shule mbalimbali nchini katika kuadhimisha siku ya posta duniani.
Shindano hilo la uandishi wa barua limeratibiwa na Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na umoja wa posta duniani.
Akizungumza Dar es saalam leo katika hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya posta duniani, Mkurugenzi Mkuu wa...
11 years ago
CloudsFM26 Jul
RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Maadhimisho siku ya Malaria duniani kitaifa kufanyika Mnazi mmoja jijini Dar Es Salaam
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015 alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za Malaria na mbinu za kukabiliana na ugonjwa huo.
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini...