MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIYOANDALIWA NA 8020 Fashions
.jpg)
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal (kulia) akibonyeza kitufe kufungua maonesho ya kazi za wanawake wakati wa Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani zilizofanyika leo ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar es salaam. Kushoto ni mwandaaji wa maonesho haya Bi. Shamim Mwasha ambaye ni mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 8020 Fashions (http://www.8020fashionsblog.com/)
Mama Asha Bilal akiingia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE KUWA MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo [WAMA] anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8 mwaka huu katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam .
Akizungumzia maadhimisho hayo leo jijini Dar es salaam , Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar se salaam Mhe. Raymond Mushi amesema kuwa maadhimisho hayo mwaka huu yataongozwa na kauli mbiu isemayo “Uwezeshaji...
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI DAR
9 years ago
Michuzi
Prof. Ole Gabriel mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar


11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO SIKU YA MADAWA YA KULEVYA MBEYA
5 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KITAIFA MKOANI SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yatafanyika katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.
Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake Mjini Bariadi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema Maadhimisho haya yanaongozwa na kauli Mbiu "Kizazi cha Usawa kwa Maendeleo ya Tanzania ya Sasa na ya ...
11 years ago
Dewji Blog28 Apr
Makamu wa rais mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya usalama na afya duniani, katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo April 28-2014, kwa ajili ya kuhutubia wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya usalama na Afya Duniani.
Afisa mkuu mwandamizi wa mazingira katika mamlaka ya Bandari Thobias Sonda akimpa maelezo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, juu ya utumiaji wa vifaa vya...
11 years ago
Michuzi14 Jun
MAMA SALMA KIKWETE AWASILI KIGOMA AKIWA MGENI RASMI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU SALAMA KITAIFA.
5 years ago
CCM BlogMAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIVYORINDIMA KITAIFA MBELE YA MAMA SAMIA WILAYANI BARIADI MKOANI SIMIYU, LEO
Wanawake wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika Kitaifa yakiongozwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika Uwanja wa Halmashauri Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo....
11 years ago
CloudsFM26 Jul
RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...