Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri atangaza vita na wauza nyama, machinjio

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani ametangaza vita na wafanyabiashara wa maduka ya nyama ambao wamekuwa wakichinja mifugo bila ya kufuata utaratibu na kuahidi kufunga biashara zao milele.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya

Dec 21 2015 Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuweka wazi mikakati waliojiwekea kama Wizara pamoja na Jeshi la Polisi katika kupambana na dawa za kulevya, ugaidi na kesi za kubambikiwa. Hii ni baada ya kukamilisha ziara zake alizozifanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo ofisi za Jeshi la Polisi. […]

The post Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio - Waziri Mahenge

Na Victor Mariki – Ofisi ya Makamu wa Rais
Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio, hali ambayo huatarisha afya za wakazi wanaozunguka maeneo hayo ikiwemo pamoja na wafanyakazi machinjioni humo.
Hayo yalibainika wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu ya Rais - Mazingira, Mh. Binilith Mahenge alipofanya ziara ya ukaguzi mazingira katika baadhi ya machinjio hayo jijini humo leo.
Katika ziara hiyo, Mh. Mahenge alitembelea machinjio ya Ukonga na...

 

11 years ago

Habarileo

Sakata la wauza nyama na TFDA kortini

SAKATA la wauza nyama kufungiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) pamoja na Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, sasa limefika mahakamani. Limefikishwa huko baada ya manispaa hiyo kuwashitaki wale wanaokwenda kinyume na maelekezo ya mamlaka hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mgahawa wauza nyama ya binaadamu Nigeria

Mgahawa mmoja nchini Nigeria katika jimbo la Anambra umefungwa kufuatia tuhuma za kuuza nyama ya binaadamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mourinho atangaza vita Ulaya

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesema hatajali ni timu gani watakayokutana nayo baada ya kupangwa kwa ratiba ya mechi za nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya kesho.

 

11 years ago

GPL

CATHY ATANGAZA VITA NA MASTAA

Na Gladness Mallya MSANII mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka hatokaa karibu na mastaa wa kike, badala yake atakuwa na marafiki wa kiume. Akipiga stori na paparazi wetu, Cathy alisema ameamua kubadili mfumo wa maisha na amejiweka pembeni na haitaji urafiki na wasanii wa kike kwani kazi yao kubwa ni kupiga majungu. Msanii mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Jaji Mutungi atangaza vita


Wanachama vyama vyote nchini kuhakikiwa Teknolojia mpya kutumika kubaini ubabaishajiNA RABIA BAKARIUBABAISHAJI na uendeshaji wa ujanja ujanja wa baadhi ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumua nchini, umeanza kuitisha Ofisi ya Msajili na sasa inajiandaa kuvifanyia uhakiki ili kubaini udanganyifu.Hatua hiyo inalenga kufichuliwa kwa vyama vyote vinavyoendeshwa kwa ujanja ujanja ama kutokuwa na vigezo vya kuendelea kuwa na usajili wa kudumu kutokana na mabadiliko mbalimbali.Habari za...

 

9 years ago

GPL

NABII ATANGAZA VITA NA MAHAWARA

MAKUBWA! Nabii wa Kanisa la New Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera ametoa kali ya mwaka kwa kusema atapambana na watu wanaoishi bila ndoa ‘mahawara’ ili kuhakikisha wanafunga ndoa. Nabii wa Kanisa la New Revelation lililopo Buza Kipera jijini Dar, Yaspi Bendera akiwabariki wanandoa hao. Nabii huyo aliwafungisha ndoa waumini wake 20 huku akisema alichowataka wao ni kununua shela (gauni la bi harusi) tu...

 

11 years ago

GPL

KIGOGO WA WEMA ATANGAZA VITA NA DIAMOND

Stori: Shakoor Jongo
Yule kigogo au taita aliyekuwa akimpa jeuri ya fedha Wema Isaac Sepetu ajulikanaye kwa jina moja la Clement anadaiwa kutangaza vita na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.
Habari ‘hoti’ zinadai kuwa Clement anataka Diamond arudishe gharama alizomgharamia Wema ndipo waendeleze mapenzi yao. Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ na Wema Isaac...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani