Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sakata la wauza nyama na TFDA kortini

SAKATA la wauza nyama kufungiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) pamoja na Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, sasa limefika mahakamani. Limefikishwa huko baada ya manispaa hiyo kuwashitaki wale wanaokwenda kinyume na maelekezo ya mamlaka hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mgahawa wauza nyama ya binaadamu Nigeria

Mgahawa mmoja nchini Nigeria katika jimbo la Anambra umefungwa kufuatia tuhuma za kuuza nyama ya binaadamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri atangaza vita na wauza nyama, machinjio

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani ametangaza vita na wafanyabiashara wa maduka ya nyama ambao wamekuwa wakichinja mifugo bila ya kufuata utaratibu na kuahidi kufunga biashara zao milele.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rushwa ya nyama yamfikisha kortini

MKAGUZI wa nyama katika machinjio ya Mitunduruni, Manispaa ya Singida, Edwin Mtae, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Singida kwa tuhuma za kupokea rushwa ya kilo 12 za...

 

10 years ago

Habarileo

Nyama ya mbuzi yamkwama kooni, afa, mke aburuzwa kortini

MKAZI wa kijiji cha Nakachindu kata ya Mkundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani hapa, Asumini Bakiri (39) amefikishwa mahakamani kujibu shitaka la mauaji linalomkabili la kumuua mumewe, Simoni Simoni (45).

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo


Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...

 

5 years ago

Michuzi

KAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE

Na Mwandishi Wet u,Michuzi TV

KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.

Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.

Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hatari tupu TFDA

UZEMBE wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) wa kutochukua hatua stahiki dhidi ya mmiliki wa duka la dawa baridi la Core Pharmacy, Sohil Lalani aliyelalamikiwa na Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa ya ajira TFDA

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeingia kwenye kashfa ya kumwajiri mtumishi asiye na cheti cha kitaaluma kuwa msaidizi wa maabara ya dawa kuanzia Desemba 2, 2013. Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFDA yahaha kujinasua

BAADA ya gazeti hili kufichua uzembe wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) wa kutochukua hatua stahiki dhidi ya mmiliki wa duka la dawa la Core Pharmacy, Sohil Lalani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani