Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFDA yahaha kujinasua

BAADA ya gazeti hili kufichua uzembe wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) wa kutochukua hatua stahiki dhidi ya mmiliki wa duka la dawa la Core Pharmacy, Sohil Lalani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yahaha kunusuru bajeti

Serikali iko taabani kifedha na sasa inatafuta vyanzo vipya vya mapato ili kutekeleza bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2014/2015, ambayo ni Sh19 trilioni.

 

10 years ago

Mwananchi

Cecafa yahaha kuiokoa Chalenji

 Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa ) linahangaika kusaka mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Chalenji mwaka huu yaliyopangwa kuanza mwishoni mwa Novemba.

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YAHAHA, YAMSAKA BALALI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
IKIWA ni takriban miaka sita sasa tangu aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania  (BoT), Daudi Balali , afariki dunia nchini Marekani, serikali imesema inamsaka kwa udi na uvumba Balali feki anayepotosha Wabongo kwa kujifanya yu hai na anaendelea na maisha nchini humo. Aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania  (BoT), Marehemu Daudi Balali enzi za uhai wake. Akizungumza na...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yahaha kulinusuru bas

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewasilisha maombi Mahakama Kuu  Kitengo cha Biashara wakiomba lifanye mabadiliko ya kuliondoa basi lao lenye usajili namba T 581 CGR lililowekwa sokoni  kuuzwa na Kampuni ya Punchlines  Tanzania Limited kwa ajili ya kufidia ya deni la Sh56.8 milioni  na badala yake liuzwe gari lenye usajili T 528 ASJ aina ya Coaster.

 

10 years ago

Habarileo

Dar yahaha kusaka maji

WAKAZI wa maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam, wamekuwa wakihangaika kutafuta majisafi kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa. Wanawake na watoto wamekuwa wakionekana wakiwa na ndoo kuanzia asubuhi hadi jioni, wakisaka bidhaa hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

CCM yahaha kuwaokoa mawaziri waliobwagwa

Pg 4NA MWANDISHI WETU, DODOMA

KATIKA kile kinachoweza kutafsiriwa kama njia ya kuwaokoa mawaziri waliobwagwa kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kamati Kuu (CC) imefuta matokeo ya awali na kutangazwa kufanyika upya kwa uchaguzi upya kwenye majimbo matano.

Kutokana na kufutwa kwa matokeo hayo, CC imeamuru kurudiwa kwa kura za maoni kesho, na matokeo yake kuwasilishwa haraka ngazi za juu kwa ajili ya uamuzi wa mwisho.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Katibu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

CAF yahaha kutafuta mbadala wa Morocco

Shirikisho la soka barani Africa CAF linahaha kutafuta nchi gani itakayookoa jahazi baada Morocco kuondolewa rasmi kuandaa fainali hizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yahaha kutafuta mgombea Zanzibar

HARAKATI za kutafuta mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani zimezidi kushika kasi ambapo safari hii baadhi ya majina kutoka Zanzibar yanatajwa tajwa kumrithi Rais...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yahaha kutafuta fedha za kujiandaa na ligi

Timu ya Simba inakabiliwa na ukata, ambapo inafanya juu chini kupata fedha kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza Januari 25.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani