Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cecafa yahaha kuiokoa Chalenji

 Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa ) linahangaika kusaka mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Chalenji mwaka huu yaliyopangwa kuanza mwishoni mwa Novemba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Niliyojionea Cecafa Chalenji 2013

MICHUANO ya soka kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) maarufu kama Cecafa Chalenji Cup iliyoanza Novemba 27 hadi Desemba 12, mwaka huu, ikishirikisha jumla ya timu...

 

10 years ago

Mwananchi

Chalenji bado yaitesa Cecafa

Mashindano ya Chalenji yanalitesa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) wakiwaza nini cha kufanya baada ya kukosekana kwa mdhamini wa mashindano hayo.

 

10 years ago

TheCitizen

CECAFA: Azam FC eye Cecafa Cup semis

>Azam FC head coach Joseph Omog is earning fame as one of the best strategists and planners of the game.

 

9 years ago

Dewji Blog

Cecafa yatangaza ratiba ya Cecafa Senior Challenge Cup, Tanzania uso kwa uso na Somalia!

cecafa__logo

Na Rabi Hume

Shirikisho la soka Afrika Mashariki (CECAFA), limetoa ratiba ya mashindano ya Cecafa Senior Challenge Cup yanayotarajiwa kuanza kutimua Novemba 21 nchini Ethiopia.

Mashindano ya mwaka huu yamejumuisha nchi 11 wakiwa wenyeji na moja ikiwa kama mgeni mwalikwa ambayo ni nchi ya Malawi ambayo imeingia katika kundi C ikiwa na nchi zingine za Sudan na Sudan Kusini.

Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza kuchezwa tarehe 21 mwezi huu ambapo mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya;

 

9 years ago

Habarileo

Kibadeni ahaha kuiokoa JKT Ruvu

KOCHA Mkuu wa JKT Ruvu, Abdallah Kibaden amesema timu hiyo haitashuka daraja msimu huu na hivi karibuni itaanza kupata ushindi baada ya kupata kikosi kazi cha wachezaji 15.

 

11 years ago

Habarileo

‘Soko la Mchikichini livunjwe kuiokoa Machinga Complex’

BAADA ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kubainisha upungufu uliopo katika Soko la Machinga Complex Ilala jijini Dar es Salaam ikiwemo soko hilo kujiendesha kwa hasara, baadhi ya wabunge wameshauri Serikali iangalie uwezekano wa kuvunja Soko la Mchikichini lililopo jirani.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kuiokoa Shule ya Msingi Ilembo Mbeya

Serikali imeombwa kuiokoa Shule ya Msingi Ilembo katika kijiji cha Ilembo Mbeya Vijijini kutokana na shule hiyo kukabiliwa na uchakavu wa majengo, ukosefu wa madawati, nyumba za walimu na uchache wa Walimu.

Wakazi wa kijiji cha Ilembo wamesema hali hiyo imesababisha watoto wao kutopata elimu wanayostahili na hivyo kufanya vibaya kwenye mitihani ya kumaliza elimu ya msingi.

 Shule ya Msingi Ilembo, iliyopo katika kijiji cha Ilembo, Mbeya Vijijini, imejengwa mwaka 1954 na katika uhai wake wa...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Tunasubiri mkakati wa muda mfupi kuiokoa Shilingi

Thamani ya Shilingi inazidi kuporomoka kadri siku zinavyokwenda na kusababisha bei za bidhaa mbalimbali kuendelea kupaa bila ya kuwapo na maelezo yoyote ya mkakati wa kudhibiti hali hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

HOJA YA UCHUMI: Hatuhitaji kusubiri rais mpya kuiokoa shilingi

Mwishoni mwa wiki iliyopita nilipata fursa ya kubadilisha kiasi kidogo cha  fedha za kigeni katika moja ya maduka ya kubadilishia fedha  Kariakoo jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani