Kibadeni ahaha kuiokoa JKT Ruvu
KOCHA Mkuu wa JKT Ruvu, Abdallah Kibaden amesema timu hiyo haitashuka daraja msimu huu na hivi karibuni itaanza kupata ushindi baada ya kupata kikosi kazi cha wachezaji 15.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo18 Oct
Kibadeni aweka ngao JKT Ruvu
KOCHA Abdallah Kibadeni, amesema amekubali kuchukua mikoba ya Fred Minziro ya kuifundisha JKT Ruvu, lakini akaomba uongozi wa timu hiyo uwe na subira ili aweze kubadili mfumo na ipate matokeo mazuri.
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Kibadeni agomea mkataba JKT Ruvu
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KOCHA wa JKT Ruvu, Abdallah Kibadeni, amesema hafikirii kuingia mkataba na klabu hiyo kabla ya kuwaandaa wachezaji na kupata kikosi bora cha kwanza kitakacholeta ushindani katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kibadeni ambaye amewahi kuifundisha Simba na mshauri wa benchi la ufundi la timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwa sasa, aliitwa kuinusuru timu hiyo na matokeo mabaya baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa kocha mkuu, Felix...
9 years ago
Habarileo28 Oct
Kibadeni apania kuitoa JKT Ruvu mkiani
KOCHA mpya wa timu ya soka ya JKT Ruvu, Abdallah `King Mputa’ Kibadeni ameanza kutamba kwa kusema tayari ameanza kuona mwanga wa mafanikio na siku chache zijazo anaamini ataanza kuonja ladha ya ushindi.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: EAMCEF, JKT Ruvu wadhamiria kutunza Mto Ruvu
MAZINGIRA ni suala mtambuka, kila mtu kwa nafasi yake anatakiwa kuwajibika kuhakikisha dunia inakua mahali salama pa kuishi. Uwajibikaji wetu licha ya kutunza mazingira, naamini utaongeza pia siku za kuishi...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Anuia kuirekebisha JKT Ruvu
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Ligi ya JKT Ruvu, Coastal
11 years ago
Mwananchi19 Jul
JKT Ruvu yamsajili Morris
9 years ago
Habarileo07 Nov
JKT Ruvu watanua vifua
KOCHA Msaidizi wa JKT Ruvu, Mrage Kabange, amesema ushindi wa mabao 2-0, walioupata kwa African Sports Jumapili iliyopita umewarudisha kwenye mapambano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara.