Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JKT Ruvu watanua vifua

KOCHA Msaidizi wa JKT Ruvu, Mrage Kabange, amesema ushindi wa mabao 2-0, walioupata kwa African Sports Jumapili iliyopita umewarudisha kwenye mapambano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: EAMCEF, JKT Ruvu wadhamiria kutunza Mto Ruvu

MAZINGIRA ni suala mtambuka, kila mtu kwa nafasi yake anatakiwa kuwajibika kuhakikisha dunia inakua mahali salama pa kuishi. Uwajibikaji wetu licha ya kutunza mazingira, naamini utaongeza pia siku za kuishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Prisons yaichapa JKT Ruvu 6-0

Tanzania Prisons imeiadhibu JKT Ruvu kwa kuichapa 6-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

 

9 years ago

Mwananchi

Ligi ya JKT Ruvu, Coastal

Ni Ligi Kuu bila Yanga, Simba na Azam, klabu tatu zenye wachezaji wao wengi katika timu ya Taifa , ‘Taifa Stars’.

 

11 years ago

Mwananchi

JKT Ruvu yamsajili Morris

JKT Ruvu imemsajili mdogo wa beki wa Azam, Ambrose Morris ili kukiongezea nguvu kikosi hicho kwenye Ligi Kuu Bara msimu ujao.

 

9 years ago

Mwananchi

Anuia kuirekebisha JKT Ruvu

Kocha wa JKT Ruvu, Abdallah Kibadeni ‘King’ amesema usajili mbovu uliofanywa na klabu hiyo ndiyo unaowamaliza kwenye Ligi Kuu msimu huu.

 

10 years ago

GPL

MECHI YA KIRAFIKI NDANDA FC 4-1 JKT RUVU

Picha za timu zote mbili zikimenyena vikali. Gari la Jeshi la timu ya  JKT Ruvu likiwasubiri wachezaji nje ya uwanja.…

 

9 years ago

Habarileo

Kibadeni aweka ngao JKT Ruvu

KOCHA Abdallah Kibadeni, amesema amekubali kuchukua mikoba ya Fred Minziro ya kuifundisha JKT Ruvu, lakini akaomba uongozi wa timu hiyo uwe na subira ili aweze kubadili mfumo na ipate matokeo mazuri.

 

9 years ago

Habarileo

JKT Ruvu wavunja rekodi ya Azam FC

MAAFANDE wa JKT Ruvu wamevunja rekodi ya Kocha Stewart Hall kutofungwa katika michuano yoyote baada ya kuifunga Azam FC mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani