Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF yahaha kulinusuru bas

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewasilisha maombi Mahakama Kuu  Kitengo cha Biashara wakiomba lifanye mabadiliko ya kuliondoa basi lao lenye usajili namba T 581 CGR lililowekwa sokoni  kuuzwa na Kampuni ya Punchlines  Tanzania Limited kwa ajili ya kufidia ya deni la Sh56.8 milioni  na badala yake liuzwe gari lenye usajili T 528 ASJ aina ya Coaster.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TFF yahaha kusaka wadhamini Uhai Cup

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi amesema yupo kwenye mazungumzo na wadhamini ili kufanikisha mashindano ya Uhai Cup yanayoshirikisha timu za vijana chini ya miaka 20.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Bas Feat. J. Cole – Night Job

j-cole-bas

Bas is working on the follow-up to his 2014 debut Last Winter, but his Dreamville boss J. Cole lets loose a new song to get you ready. Cole joins his Queens protégé on “Night Job,” which finds the rappers in grind mode.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta ahaha kulinusuru Bunge Maalumu la Katiba

>Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta anahaha kulinusuru Bunge hilo, baada ya wajumbe ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao vinavyoendelea mjini Dodoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFDA yahaha kujinasua

BAADA ya gazeti hili kufichua uzembe wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) wa kutochukua hatua stahiki dhidi ya mmiliki wa duka la dawa la Core Pharmacy, Sohil Lalani...

 

10 years ago

Mwananchi

Cecafa yahaha kuiokoa Chalenji

 Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa ) linahangaika kusaka mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Chalenji mwaka huu yaliyopangwa kuanza mwishoni mwa Novemba.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yahaha kunusuru bajeti

Serikali iko taabani kifedha na sasa inatafuta vyanzo vipya vya mapato ili kutekeleza bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2014/2015, ambayo ni Sh19 trilioni.

 

11 years ago

GPL

SERIKALI YAHAHA, YAMSAKA BALALI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
IKIWA ni takriban miaka sita sasa tangu aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania  (BoT), Daudi Balali , afariki dunia nchini Marekani, serikali imesema inamsaka kwa udi na uvumba Balali feki anayepotosha Wabongo kwa kujifanya yu hai na anaendelea na maisha nchini humo. Aliyekuwa Gavana wa Benki ya Tanzania  (BoT), Marehemu Daudi Balali enzi za uhai wake. Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Dar yahaha kusaka maji

WAKAZI wa maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam, wamekuwa wakihangaika kutafuta majisafi kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa. Wanawake na watoto wamekuwa wakionekana wakiwa na ndoo kuanzia asubuhi hadi jioni, wakisaka bidhaa hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani