Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF yahaha kusaka wadhamini Uhai Cup

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi amesema yupo kwenye mazungumzo na wadhamini ili kufanikisha mashindano ya Uhai Cup yanayoshirikisha timu za vijana chini ya miaka 20.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Dar yahaha kusaka maji

WAKAZI wa maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam, wamekuwa wakihangaika kutafuta majisafi kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa. Wanawake na watoto wamekuwa wakionekana wakiwa na ndoo kuanzia asubuhi hadi jioni, wakisaka bidhaa hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yahaha kulinusuru bas

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewasilisha maombi Mahakama Kuu  Kitengo cha Biashara wakiomba lifanye mabadiliko ya kuliondoa basi lao lenye usajili namba T 581 CGR lililowekwa sokoni  kuuzwa na Kampuni ya Punchlines  Tanzania Limited kwa ajili ya kufidia ya deni la Sh56.8 milioni  na badala yake liuzwe gari lenye usajili T 528 ASJ aina ya Coaster.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni wakati wa klabu kusaka wadhamini

Kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania Bara kimemalizika wiki iliyopita kwa Azam FC kunyakua ubingwa wa Tanzania Bara ikiwa ni mara ya kwanza baada ya misimu mitano kushiriki ligi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkulima atumia mabasi kusaka wadhamini

Kada wa CCM, Elidephonce Bilohe (43), mkulima anayeomba kupitishwa na chama chake kuwania urais, amesema anatumia usafiri wa mabasi ya umma kuzunguka mikoani kusaka wadhamini.

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA ATUA ZANZIBAR KUSAKA WADHAMINI

Waziri Mkuu wa zamaninaMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA)Mh. Lowassa, akifurahia jambo na Mzee...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya January Makamba Kusaka Wadhamini Shinyanga.

Mh January Makamba naendelea na Ziara yake ya Kusaka Wadhamini katika mikoa mbalimbali ya Tanzania na Leo alikua katika Mkoa wa Shinyanga akiomba Uzamini.
Mh January Makamba amepokelewa kwa Bashasha Kemkem na wakazi wa Mkoa wa Shinyanga na Chama cha vijana wa Bidaboda mkoa huu walijitokeza kwa Wingi kumpokea January Makamba.
Mbunge wa Shinyanga na Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi (Mazingira) Steven Masele amempokea mh January Makamba na Kuwaomba wanashinyanga kumuamini na kumpa...

 

10 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA AKIWA IRINGA KUSAKA WADHAMINI

Mheshimiwa January Makamba, akiwasili ofisi za CCM mkoa wa Iringa. Mheshimiwa January Makamba, akipokelewa na wanachama wa CCM Wilaya ya Iringa mjini.…

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU AANZA KUSAKA WADHAMINI KATAVI




Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda ameanza safari ya kusaka wadhamini kwa kuzuru Mkoa wa Katavi.

Waziri Mkuu Pinda ambaye aliwasili Mpanda jana jioni (Jumapili, Juni 14, 2015), alipokelewa na maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda ambao waliamua kumsindikiza kwa mchakachaka na bodaboda kutoka uwanja wa ndege hadi nyumbani kwake, Makanyagio.
Hadi mchana huu amekwishapata wadhamini 4,243 kwa kuzuru vituo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani