Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ziara ya January Makamba Kusaka Wadhamini Shinyanga.

Mh January Makamba naendelea na Ziara yake ya Kusaka Wadhamini katika mikoa mbalimbali ya Tanzania na Leo alikua katika Mkoa wa Shinyanga akiomba Uzamini.
Mh January Makamba amepokelewa kwa Bashasha Kemkem na wakazi wa Mkoa wa Shinyanga na Chama cha vijana wa Bidaboda mkoa huu walijitokeza kwa Wingi kumpokea January Makamba.
Mbunge wa Shinyanga na Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi (Mazingira) Steven Masele amempokea mh January Makamba na Kuwaomba wanashinyanga kumuamini na kumpa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA AKIWA IRINGA KUSAKA WADHAMINI

Mheshimiwa January Makamba, akiwasili ofisi za CCM mkoa wa Iringa. Mheshimiwa January Makamba, akipokelewa na wanachama wa CCM Wilaya ya Iringa mjini.…

 

10 years ago

Michuzi

January Makamba atua Jiji la Mwanza kusaka Wadhamini


Mh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini katika jiji la  Mwanza kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela Loth Olemeint.Mbunge wa Bumbuli January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, leo alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifulika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu hatokua na kinyongo wala Chuki kwa atakae Teuliwa.Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

January makamba apata wadhamini Mkoani Njombe

Mh January Makamba na mkewe wakiwasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe  ambapo walipokelewa na wanachama wa CCM aliokuwa na kikundi cha ngomaMh January Makamba na mkewe wakisalimana na baadhi ya wanachama wa CCM katika ukumbi mdogo wa CCM mkoani Njombe.Mh January Makamba akiwaka sahihi katika kitabu cha wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Njombe.Mh January Makamba akipokea fomu yenye majina ya wanachama wa CCM wa Njombe waliomdhamini kutoka kwa katibu wa CCM moa wa Njombe, ndugu Mponzi....

 

10 years ago

Michuzi

January makamba apata wadhamini lukuki Tabora na Tanga

 January Makama akiweka saini kitabu cha wageni alipotua  mkoani Tabora kusaka wadhamini. Kulia ni mkewe na kushoto ni mmoja wa viongozi wa CCM mkoani humo January akilakiwa na wazee wa Tabora  Mke wa January akimpigia debe mumewe mjini Tabora January akihutubia wananchi wa mkoa wa Tanga na kutoa shukrani kwa wananchi wa Tanga kwa kujitokeza kwa wingi kumdhamini na kumsikilizaKwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Mapokezi ya Mh January Makamba Jiji la Mwanza akisaka wadhamini

IMG_2744

Mh. January Makamba na Mkewe wakitembea pamoja na Wana CCM katika mitaa ya jijini Mwanza mara walipowasili katika jiji hilo kutafuta wadhamini.(Picha zote na John Sambila).

Mbunge wa Bumbuli, Mh. January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, jana alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifurika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.

Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu...

 

10 years ago

Bongo5

Tu8 January haina uhusiano wowote na January Makamba — Fid Q

Rapper Fareed Kubanda aka Fid Q amedai kuwa kampeni aliyoanzisha mwaka jana ya Tu8 January ambayo ilishuhudia kufanyika kwa ziara za wasanii katika baadhi ya maeneo nchini, haina uhusiano wowote na January Makamba. Akiongea kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya, Fid alisema kampeni hiyo ilijihusisha na kuwataka vijana kujitokeza kwenda kujiandikisha […]

 

10 years ago

Mwananchi

January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro

Wagombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wametoa maoni yao kwa kupitishwa katika tano bora.

 

9 years ago

Vijimambo

Nay wa Mitego Amvaa January Makamba..Adai January Ndio Mnunuzi Mkuu wa Akina Dr Slaa, Lupumba, Twaweza na Wasanii


Msanii wa bongo fleva, Nay wa Mitego amemvaa mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM,January Makamba na kudai yeye ni mnunuaji mkuu wa tafiti na wasanii kwa lengo la kukisaidia chama chake.Nay alimjibu January Makamba aliyepost ujumbe ukionyesha kushangaa tuhuma dhidi ya CCM kuwa imekuwa ikinunua wanasiasa,tafiti pamoja na wasanii kwa lengo la kuulaghai umma.
"Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate...

 

11 years ago

Mwananchi

Ni wakati wa klabu kusaka wadhamini

Kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania Bara kimemalizika wiki iliyopita kwa Azam FC kunyakua ubingwa wa Tanzania Bara ikiwa ni mara ya kwanza baada ya misimu mitano kushiriki ligi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani