Dar yahaha kusaka maji
WAKAZI wa maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam, wamekuwa wakihangaika kutafuta majisafi kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa. Wanawake na watoto wamekuwa wakionekana wakiwa na ndoo kuanzia asubuhi hadi jioni, wakisaka bidhaa hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi29 May
TFF yahaha kusaka wadhamini Uhai Cup
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi amesema yupo kwenye mazungumzo na wadhamini ili kufanikisha mashindano ya Uhai Cup yanayoshirikisha timu za vijana chini ya miaka 20.
10 years ago
Habarileo14 Feb
Watembea kilometa 20 kusaka maji
KUTOKANA na ukosefu wa huduma ya maji kwenye Kitongoji cha Arpau, Kijiji cha Komolo Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, huwalazimu wananchi wa eneo hilo kutembea kilomita 20 kwenda na kurudi nyumbani kufuata maji mtoni.
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wanawake walivyoambulia makofi ya waume zao kwa kusaka maji
Ustawi wa jamii yoyote, hata maendeleo hutegemea upatikajanaji wa maji safi na salama ambayo ni kichocheo muhimu kinachowapa fursa wananchi kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za kukuza uchumi.
10 years ago
GPLBODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...
10 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI MBAGALA KUU,JIJINI DAR LEO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakizunguka kuangalia mradi wa maji Mbagala Kuu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakikata...
11 years ago
MichuziKAMATI YA MAJI KING'ONGO DAR WAKAGUA UJENZI WA MRADI WAO WA MAJI ULIOFADHILIWA NA TBL
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MO Resources Limited,Onesmo Sigalla (kulia), akitoa maelezo kwa kwa wajumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King'ongo, Kata ya Salanga, Kimara, Dar es Salaam, kuhusu hatua aliyofikia ya usafishaji maji katika ujenzi wa kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kamati hiyo iliyokwenda kukagua maendeleo ya mradi huo jana, iliongozwa na Mwenyekiti wa Mtaa huo, Demetrius Mapesi (kulia). Wajumbe wengine ni Anna Kibwana (wa...
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAJI, MAKALLA AWANASA WEZI WA MAJI DAR NA KUTANGAZA KUFILISI MALI ZAO.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya ufyatuaji matofali ya Ujenzi Solutions, ya Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, Rahim Hamis na mfanyabiashara wa kampuni isiyo na jina, Credo Rajab (kulia) wakiwa chini ya uliznzi wa Polisi huku wakiwa wamevishwa pingu baada Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla kuamuru kuwakamata alipokagua viwanda vyao vya ufyatuaji na kugundulika kuwa wanatumia maji isivyo halali kwa kujiunganishia kwenye bomba kuu la Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dar ws Salaam (DAWASA). ...
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAJI MHE AMOS MAKALLA ATEMBELEA MIRADI YA MAJI MIKOA YA PWANI NA DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Maji, Mhe Amos Makalla ameanza ziara yake ya siku nne ya kukagua miradi ya maji katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam kwa kutembelea tenki la maji la Chuo Kikuu cha Ardhi na mradi wa maji Ruvu Juu. “Serikali hailengi tu kuleta maji, ila pia kutatua tatizo la upotevu wa maji. Bali, tumejiandaaje kupokea maji ya kutosha kutokana na mradi mkubwa unaoendelea Ruvu Juu. Hivyo, hatuna budi kukarabati au kujenga kabisa upya matenki yote mabovu kabla ya kuanza kupata maji...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania