Watembea kilometa 20 kusaka maji
KUTOKANA na ukosefu wa huduma ya maji kwenye Kitongoji cha Arpau, Kijiji cha Komolo Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, huwalazimu wananchi wa eneo hilo kutembea kilomita 20 kwenda na kurudi nyumbani kufuata maji mtoni.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Watembea kilometa 15 kusaka tiba
WANANCHI wa Kata ya Mpuguso, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, wanatembea umbali wa kilometa 15 kufuata huduma ya afya kutokana na kata hiyo kutokuwa na kituo cha afya wala zahanati tangu...
10 years ago
Habarileo20 Dec
Dar yahaha kusaka maji
WAKAZI wa maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam, wamekuwa wakihangaika kutafuta majisafi kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa. Wanawake na watoto wamekuwa wakionekana wakiwa na ndoo kuanzia asubuhi hadi jioni, wakisaka bidhaa hiyo.
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wanawake walivyoambulia makofi ya waume zao kwa kusaka maji
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]
The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
BBCSwahili03 Sep
Watembea kwa miguu hatarini Uganda
10 years ago
BBCSwahili13 Jun
Watembea kilomita 700 kuleta amani Kenya
11 years ago
Habarileo13 Apr
Watanzania watembea kifua mbele kwa tuzo ya Kikwete
TUZO ya uongozi bora aliyotunukiwa Rais Jakaya Kikwete jijini hapa Jumatano iliyopita na jarida moja la kimataifa la African Leadership imeelezwa kuwa imeliongezea nuru bara la Afrika na Tanzania kwa kutambua uongozi wake mahiri katika utawala na maendeleo.
10 years ago
Habarileo23 Aug
Kikwete asafiri kilometa 143 kwa treni
RAIS Jakaya Kikwete juzi aliweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Mjamzito atembea kilometa mia moja kutafuta msaada
Na Nathaniel Limu
MKULIMA mkazi wa kijiji cha Ighombwe wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Esther Jilala (16),amelazimika kutembea umbali wa kilometa zaidi ya mia moja kutafuta msaada baada ya kuchoka kunyanyaswa na kupigwa kila siku mume wake.
Esther ambaye kwa sasa ana mimba ya miezi mitatu,alitembea umbali huo kwa siku mbili mfululizo.
Imedaiwa siku moja kabla ya kufanya maamuzi magumu ya kutoroka,alipigwa vibaya na mume wake Michael Luhenga, kwa kumutuhumu kuwa aliachia ndama wanyonye...