Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watembea kilomita 700 kuleta amani Kenya

Kundi la vijana wameanza safari ya kutembea zaidi ya kilomita 700 kuelekea mji wa Mandera katika mpaka baina ya Kenya na Somalia ilikuchochea amani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Catherine Panza; mama anayetarajiwa kuleta amani CAR

Kadiri siku zinavyokwenda dhana ya mwanamke kutokuwa na umuhimu kwenye jamii nyingi za Kiafrika inapotea kutokana na kundi hilo kuanza kuaminika na kupewa madaraka makubwa maeneo husika.

 

9 years ago

Michuzi

SUCCOS KUANZISHA MIRADI YENYE LENGO LA KULETA AMANI NCHINI

TAASISI ya Succos Dar es salaam Foundation imeanzisha miradi iliobeba ujumbe wa kudumisha amani, upendo na umoja nchini yenye lengo la kuwasaidia wahitaji mbalimbali ili kuondokana na umasikini nchini.

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Meneja Mradi Deogratius Paso amesema kuwa kupitia miradi hiyo itaendesha semina mbalimbali ambazo zitasaidia kudumisha amani na kupunguza umasikini nchini hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

 “Tumelenga mambo mbalimbali...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jambo ambalo linaweza kuleta mgawanyiko: Mtengezaji mabomu aliyebadilika na kuwa mtafutaji amani

Alikuwa sehemu ya kundi la wanamgambo waliotekeleza shambulio la bomu Bali, sasa hivi Ali Fauz, dhamira yake ni kuhakikisha ugaidi unamalizika

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa yaongezeka hadi kufikia 700 Kenya

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 700 baada ya wagonjwa wapya 28 kuthibitishwa katika kipindi cha saa 24.

 

10 years ago

Habarileo

Watembea kilometa 20 kusaka maji

KUTOKANA na ukosefu wa huduma ya maji kwenye Kitongoji cha Arpau, Kijiji cha Komolo Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, huwalazimu wananchi wa eneo hilo kutembea kilomita 20 kwenda na kurudi nyumbani kufuata maji mtoni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watembea kilometa 15 kusaka tiba

WANANCHI wa Kata ya Mpuguso, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, wanatembea umbali wa kilometa 15 kufuata huduma ya afya kutokana na kata hiyo kutokuwa na kituo cha afya wala zahanati tangu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watembea kwa miguu hatarini Uganda

Watembea kwa miguu jijini Kampala nchini Uganda wako hatarini kupata ajali kutokana na changamoto ya Barabara

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania watembea kifua mbele kwa tuzo ya Kikwete

TUZO ya uongozi bora aliyotunukiwa Rais Jakaya Kikwete jijini hapa Jumatano iliyopita na jarida moja la kimataifa la African Leadership imeelezwa kuwa imeliongezea nuru bara la Afrika na Tanzania kwa kutambua uongozi wake mahiri katika utawala na maendeleo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matembezi ya kuweka amani yaanza Kenya

Wanaridha nchini Kenya wakiwemo wale waliovunja rekodi za dunia wameanza matembezi ya amani ya siku 22.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani