Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUCCOS KUANZISHA MIRADI YENYE LENGO LA KULETA AMANI NCHINI

TAASISI ya Succos Dar es salaam Foundation imeanzisha miradi iliobeba ujumbe wa kudumisha amani, upendo na umoja nchini yenye lengo la kuwasaidia wahitaji mbalimbali ili kuondokana na umasikini nchini.

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Meneja Mradi Deogratius Paso amesema kuwa kupitia miradi hiyo itaendesha semina mbalimbali ambazo zitasaidia kudumisha amani na kupunguza umasikini nchini hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

 “Tumelenga mambo mbalimbali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE KUFUTA USAJILI WA MAKANISA YENYE MIGOGORO KWA LENGO LA KUEPUSHA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na maelfu ya Waumini wa Karismatiki Katoliki, Jimbo la Dar es Salaam katika maombi maalumu kwa ajili ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Kituo cha Karismatiki, Ubungo jijini Dar es Salaam. Waziri Chikawe ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maombi hayo aliyataka Makanisa nchini kudumisha amani na utulivu na kuendelea kuliombea Taifa na kuepuka kuingia katika migogoro mbalimbali ambayo itasababisha taifa kuingia katika uvunjifu amani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaeleza lengo la kuanzisha mamlaka ya mji mdogo

SERIKALI imesema lengo la kuanzishwa mamlaka ya mji mdogo ni kuingiza dhana ya mipango miji, ili kuzuia ujenzi holela. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Vijana watakiwa kuanzisha miradi

Vijana wilayani Muleba, mkoani Kagera wametakiwa kujenga tabia ya kuthubutu katika uwekezaji kwa kuanza na mitaji midogo wakitumia nguvu zao ili kuharakisha maendeleo na kujikwamua na umaskini.

 

10 years ago

Habarileo

Wawekezaji kuanzisha miradi ya uchumi

KUFUATA kuwapo kwa huduma mbalimbali muhimu katika kisiwa cha Pemba ikiwamo nishati ya umeme ya uhakika, baadhi ya wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza katika eneo huru la uchumi liliopo Micheweni Pemba.

 

10 years ago

Habarileo

Wahimizwa kuanzisha miradi ya kiuchumi

WATUMISHI wa umma katika halmashauri ya wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro wametakiwa kutumia fursa nyingine zilizopo ili kujiinua kimaisha badala ya kutegemea ajira serikalini pekee.

 

5 years ago

Michuzi

Jumuiya za CCM Watakiwa kuanzisha miradi ya nyuki

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Edmond Mndolwa akikata utepe wakati wa kukabidhi mashine ya kufyatua matofali wakati alipotembelea halmashauri ya wilaya ya Longido.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dkt. Edmond Mndolwa akikabidhi viti wakati alipotembelea halmashauri ya wilaya ya Longido.Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watembea kilomita 700 kuleta amani Kenya

Kundi la vijana wameanza safari ya kutembea zaidi ya kilomita 700 kuelekea mji wa Mandera katika mpaka baina ya Kenya na Somalia ilikuchochea amani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani