Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahimizwa kuanzisha miradi ya kiuchumi

WATUMISHI wa umma katika halmashauri ya wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro wametakiwa kutumia fursa nyingine zilizopo ili kujiinua kimaisha badala ya kutegemea ajira serikalini pekee.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wawekezaji kuanzisha miradi ya uchumi

KUFUATA kuwapo kwa huduma mbalimbali muhimu katika kisiwa cha Pemba ikiwamo nishati ya umeme ya uhakika, baadhi ya wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza katika eneo huru la uchumi liliopo Micheweni Pemba.

 

9 years ago

Mwananchi

Vijana watakiwa kuanzisha miradi

Vijana wilayani Muleba, mkoani Kagera wametakiwa kujenga tabia ya kuthubutu katika uwekezaji kwa kuanza na mitaji midogo wakitumia nguvu zao ili kuharakisha maendeleo na kujikwamua na umaskini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee Magu wabuni miradi ya kiuchumi

“HIVI karibuni tunategemea kuanza kutengeneza matenki ya kuwekea maji yenye lita za ujazo 2,000. Tutaiomba Ofisi ya Mkurugenzi itupe tenda ya kusambaza kwenye shule zote hapa Magu. “Pia  tunao mradi...

 

5 years ago

Michuzi

Jumuiya za CCM Watakiwa kuanzisha miradi ya nyuki

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Edmond Mndolwa akikata utepe wakati wa kukabidhi mashine ya kufyatua matofali wakati alipotembelea halmashauri ya wilaya ya Longido.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dkt. Edmond Mndolwa akikabidhi viti wakati alipotembelea halmashauri ya wilaya ya Longido.Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa ambaye pia ni mjumbe wa...

 

11 years ago

Michuzi

IPTL kusaidia miradi ya kuwawezesha vijana kiuchumi

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Bw. Harbinder Signh Sethi (kushoto) na Katibu na Mwanasheria Mkuu wa kampuni hiyo Bw. Joseph Makandege (wapili kushoto) wakikabidhi hundi ya shilingi milioni 11 kwa mwakilishi wa Kanisa la Mt. Rita Wakashia lililopo Kimara jijini Dar es Salaam, George Kashushura. Fedha hizo zitatumika kuanzisha SACCOS ya kanisa hilo, lenye lengo la kuwainua vijana kiuchumi. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UDA kuendelea kusaidia miradi ya kijamii, kiuchumi

SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limethibitisha kuwa litaendelea kusaidia miradi ya uwezeshaji ya kiuchumi nchini, ili kusaidia kuinua ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi...

 

9 years ago

Michuzi

SUCCOS KUANZISHA MIRADI YENYE LENGO LA KULETA AMANI NCHINI

TAASISI ya Succos Dar es salaam Foundation imeanzisha miradi iliobeba ujumbe wa kudumisha amani, upendo na umoja nchini yenye lengo la kuwasaidia wahitaji mbalimbali ili kuondokana na umasikini nchini.

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Meneja Mradi Deogratius Paso amesema kuwa kupitia miradi hiyo itaendesha semina mbalimbali ambazo zitasaidia kudumisha amani na kupunguza umasikini nchini hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

 “Tumelenga mambo mbalimbali...

 

10 years ago

Dewji Blog

UDA kuendelea kupiga jeki miradi yakijamii na kiuchumi nchini

ST. RITA PIX 1

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Bw John Samangu (kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi Saccos ya kwaya ya Kanisa la Kigango cha Mtakatifu Rita wa Kashia jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Picha na mpiga picha wetu).

Na Mwandishi Wetu,

Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limethibitisha kuwa litaendelea kupiga jeki zaidi miradi ya uwezeshaji ya kiuchumi nchini Tanzania katika hatua ya kusaidia kuinua ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi nchini.

Akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI ITAKAYOWEZESHA KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI.

1Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Vijana na kuwataka kutumia elimu na ujuzi walioupata katika mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu katika kuisaidia serikali kutimiza dhamira yake ya kuwainua vijana kiuchumi, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya ujasiriamali na ubunifu kwa Maafisa Vijana jijini Arusha. 2Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Uongozi cha Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI) Prof Bonard Mwape akiwaeleza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani