Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete asafiri kilometa 143 kwa treni

RAIS Jakaya Kikwete juzi aliweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aweka historia nyingine: Asafiri kwa treni ya TAZARA kwa mara ya kwanza

c5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

Rais Kikwete,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ASAFIRI KWA TRENI YA TAZARA KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAZARA Bw. Ronald Phiri zawadi ya picha ya jengo la makao makuu ya TAZARA akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ASAFIRI KWA TRENI YA TAZARA KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.…

 

11 years ago

Michuzi

PINDA ASAFIRI KWA TRENI KWENDA READING KUZUNGUMZA NA WATANZANIA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipanda treni kutoka Reading kwenda London Uingereza baada ya kuzungumza na watanzania waishio Reading Julai 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

9 years ago

Michuzi

KILOMETA 6,276 ZA BARABARA ZAJENGWA NCHINI KWA MIAKA 10

Ujenzi wa barabara ya Iringa-Dodoma umekamilika kwa asilimia 95, bado maeneo machache tu likiwemo hili la Mlima Nyang'oro ambapo Wachina wameuchonga ili kupunguza kona katika umbali wa kilometa 15. Wakati wakandarasi walipokuwa wanajenga daraja hili katika eneo la Miangalua kwenye barabara ya Tunduma-Sumbawanga mwaka 2011. Barabara hiyo sasa imekamilika.Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali nzuri. Ujenzi wa barabara ukiendelea katika baadhi ya miradi nchini.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Sata asafiri nje kwa matibabu

Taarifa kutoka nchini Zambia zinasema kuwa Rais Michael Sata amesafiri nje ya nchi kwa matibabu kufuatia taarifa afya sio nzuri.

 

9 years ago

GPL

KILOMETA 6,276 ZA BARABARA ZAJENGWA NCHINI KWA MIAKA 10‏

Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali nzuri. …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani