Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILOMETA 6,276 ZA BARABARA ZAJENGWA NCHINI KWA MIAKA 10‏

Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali nzuri. …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KILOMETA 6,276 ZA BARABARA ZAJENGWA NCHINI KWA MIAKA 10

Ujenzi wa barabara ya Iringa-Dodoma umekamilika kwa asilimia 95, bado maeneo machache tu likiwemo hili la Mlima Nyang'oro ambapo Wachina wameuchonga ili kupunguza kona katika umbali wa kilometa 15. Wakati wakandarasi walipokuwa wanajenga daraja hili katika eneo la Miangalua kwenye barabara ya Tunduma-Sumbawanga mwaka 2011. Barabara hiyo sasa imekamilika.Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali nzuri. Ujenzi wa barabara ukiendelea katika baadhi ya miradi nchini.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMUAHIDI DAVIS MOSHA KILOMETA 10 ZA BARABARA MOSHI MJINI

Mh. Magufuli  Akimnadi Mgombea ubunge
wa Moshi Mjini Mh. Davis Elisa Mosha.

  Mkutano wa Kampezi za  Mgombea Urais Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro umerindima jana katika Jimbo la Moshi mjini katika Viwanja vya Mashujaa na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa CCM wa Wilaya, Mkoa na Kitaifa.Mbali na Mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli alikuwepo Mjumbe wa Halmashauri kuu ya ccm na Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndhugu Emanuel Nchimbi,...

 

10 years ago

Michuzi

JK AFUNGUA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA YENYE UREFU WA KILOMETA 60 MKOANI LINDI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Ndundu - Somanga yenye urefu wa kilomita 60, hafla hiyo imefanyika jana Agosti 7 2015 mkoani Lindi.Wengine pichani ni Balozi wa Kuwait Jassem Ibrahim Al Najem,Mwakilishi wa Mfuko wa Kuwait, Abrahman Al- Hashim,Mkuu wa Mkoa wa Pwan, Eng. Evarist Ndikilo, wengine kushoto ni Waziri wa ujenzi Mhe.John Pombe Magufuli, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mkuu wa mkoa wa Lindi...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK afungua barabara ya Ndundu-Somanga yenye urefu wa Kilometa 60 mkoani Lindi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Ndundu – Somanga yenye urefu wa kilomita 60, hafla hiyo imefanyika jana Agosti 7 2015 mkoani Lindi.Wengine pichani ni Balozi wa Kuwait Jassem Ibrahim Al Najem,Mwakilishi wa Mfuko wa Kuwait, Abrahman Al- Hashim,Mkuu wa Mkoa wa Pwan, Eng. Evarist Ndikilo, wengine kushoto ni Waziri wa ujenzi Mhe.John Pombe Magufuli, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mkuu wa mkoa wa Lindi...

 

10 years ago

Habarileo

Nyumba za walimu zajengwa kwa bilioni 14/-

Kassim MajaliwaSERIKALI imetoa kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) na Sekondari (MMES) Sh bilioni 13.9 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu nchini kati ya mwaka 2009 hadi mwaka 2013.

 

11 years ago

GPL

CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA INAYOELEKEA AFRIKA SANA‏

Chemba iliyobomoka ikiwa wazi maeneo ya Mwenge. Mawe yakiwa yamewekwa kuzuia magari yasipite baada ya chemba hiyo kubomoka. CHEMBA iliyobomoka maeneo ya Mwenge Jijini Dar imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara ya kutoka Mwenge kuelekea Afrika Sana. Chemba hiyo ilibomoka baada ya gari…

 

11 years ago

GPL

MKOA WA DODOMA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA NCHINI MKOANI DODOMA‏


 
 Mkuu wa Mkoa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akifanya ukaguzi wa vitabu na nyaraka za taarifa mbalimbali kwa ajili ya wasomaji , pembeni yake ni Mkutubi msaidizi wa maktabaa hiyo Ndg. Judith Lugongo, ukaguzi huo ulifanyika mapema Leo hii wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba mkoa wa Dodoma.…
...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete asafiri kilometa 143 kwa treni

RAIS Jakaya Kikwete juzi aliweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

 

10 years ago

Michuzi

RFB yafanikiwa kufanya maboresha ya barabara kwa kiwango cha lami nchini

unnamed (100)Meneja Mfuko wa Barabara Bw.Joseph Haule akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni alipokuwa akiwasilisha ripoti ya mafanikio ya utekelezaji wa Mfuko wa Barabara kwa  Serikali ya awamu ya nne.unnamed101Naibu Meneja Masuala ya Kiufundi Bw. Ronald Lwakatare kutoka Taasisi ya Mfuko wa Barabara akizungumza na waandishi  wa habari hivi karibuni jijini Dar es Salaam.……………………………Na Lorietha Laurence-MaelezoBodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani