MH. LOWASSA ATUA ZANZIBAR KUSAKA WADHAMINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-0yu_dQjfHA8/VXM_Ff3JN8I/AAAAAAAAUmE/Woo6b_bxjso/s72-c/Lowassa_Borafia.jpg)
Waziri Mkuu wa zamaninaMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh. Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA)
Mh. Lowassa, akifurahia jambo na Mzee...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJanuary Makamba atua Jiji la Mwanza kusaka Wadhamini
Mh January Makamba Akipokea Fomu ya Wazamini katika jiji la Mwanza kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela Loth Olemeint.Mbunge wa Bumbuli January Makamba ambaye anazunguuka mikoani kwa sasa kusaka wadhamini, leo alikua katika Jiji la Mwanza huku mamia ya wanachama na wakazi wa Mwanza walifulika katika ukumbi wa Nyanza kumsikiliza Mh January.Makamba ametoa ahadi kwa wakazi wa Mwanza kuwa hataka kama hatofanikiwa katika Mchakato huu hatokua na kinyongo wala Chuki kwa atakae Teuliwa.Kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EOBiEL-iTxM/VXwsS8oh5PI/AAAAAAAHfLY/kZkfC8I0S6g/s72-c/MMGL1037.jpg)
MH. LOWASSA ATUA KIGOMA LEO, AKOMBA WADHAMINI 11,250
![](http://2.bp.blogspot.com/-EOBiEL-iTxM/VXwsS8oh5PI/AAAAAAAHfLY/kZkfC8I0S6g/s640/MMGL1037.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gJSNNSkI3nY/VXwyVuz_orI/AAAAAAAHfNA/3riVbZIJNUQ/s640/MMGL0922.jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
MCHEZA KWAO HUTUNZWA; Lowassa atua Arusha na kupata wadhamini 120,335
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akikimbia kuelekea jukwaani kuwashjukuru wananchin na wana CCM wa mkoa wa Arusha walioijitokeza wakati akiomba wadhamini Juni 24, 2015. Mh. Lowassa, alipata jumla ya wadhamini 120,335.(Picha na K-VIS MEDIA).
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Lowassa atua Zanzibar
![](http://4.bp.blogspot.com/-0yu_dQjfHA8/VXM_Ff3JN8I/AAAAAAAAUmE/Woo6b_bxjso/s640/Lowassa_Borafia.jpg)
Waziri Mkuu wa zamani naMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh. Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_8_S96F077c/VXM_QWaj9QI/AAAAAAAAUmM/Lwmx_ipXStE/s640/Lowassa_Borafia2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Lowassa atikisa Dodoma, achukua fomu aanza kusaka wadhamini “Chap Chap”, awazoa lukuki Dodoma
![](http://2.bp.blogspot.com/-XI55TSmPTBE/VXCKuKY22-I/AAAAAAAAUfk/lMX5cEApM-s/s640/LOwassa_fomu2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Lowassa apata wadhamini Zanzibar, atembelea kaburi la Karume
Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akiwasili ofisi za CCM, wilaya ya kati mkoa wa Kusini Unguja leo, kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwea kuwania urais kupitia CCM.
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (wa pili kulia), mkewe mama Regina Lowassa, (kulia) na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa mjini, Borafia Silima, (kushoto), wakitoa heshima mbele ya kaburi la hayati Mzee Abeid Amani Karume, makao makuu ya ofisi...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Ni wakati wa klabu kusaka wadhamini
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Mkulima atumia mabasi kusaka wadhamini
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-fwCspudNGX4/VX7pkHIWqiI/AAAAAAAA_8g/pfnJmoJF4_A/s72-c/PINDA%2B2.jpg)
WAZIRI MKUU AANZA KUSAKA WADHAMINI KATAVI
![](http://2.bp.blogspot.com/-fwCspudNGX4/VX7pkHIWqiI/AAAAAAAA_8g/pfnJmoJF4_A/s320/PINDA%2B2.jpg)
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda ameanza safari ya kusaka wadhamini kwa kuzuru Mkoa wa Katavi.
Waziri Mkuu Pinda ambaye aliwasili Mpanda jana jioni (Jumapili, Juni 14, 2015), alipokelewa na maelfu ya wakazi wa mji wa Mpanda ambao waliamua kumsindikiza kwa mchakachaka na bodaboda kutoka uwanja wa ndege hadi nyumbani kwake, Makanyagio.
Hadi mchana huu amekwishapata wadhamini 4,243 kwa kuzuru vituo...