Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa atua Zanzibar

Waziri Mkuu wa zamani  naMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA)

Mh. Lowassa, akifurahia jambo na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA ATUA ZANZIBAR KUSAKA WADHAMINI

Waziri Mkuu wa zamaninaMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA)Mh. Lowassa, akifurahia jambo na Mzee...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA ATUA KIGOMA LEO

Wananchi wa Mji wa Kigoma wakiwa wamejipanga kando ya Barabara kuu ya Kutoka Ujiji, kumpokea Mtangaza nia ya Kuwania Urais kwa tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Mtangaza nia ya Kuwania Urais kwa tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkoani wana CCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma waliofika kumlaki kwenye Ofisi Kuu za CCM mkoani hapo.Mh. Lowassa akisani kitabu cha wageni kwenye Ofisi Kuu za CCM Mkoani Kigoma leo, Kulia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu (NEC),...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa atua kwa Nape, Sumaye, Tambwe wamvaa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana alitua katika Jimbo la Mtama ambalo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye anawania ubunge na kuahidi kujenga viwanda ili kuwasaidia wananchi kuondokana na umaskini ambao alisema anauchukia.

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA ATUA KIGOMA LEO, AKOMBA WADHAMINI 11,250

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiusalimia umati wa wanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Kigoma, kusaka wadhamini wa kumsainia fomu za kupata ridhaa za Chama kuwania Urais wa Tanzania. Mh. Lowassa amedhaminiwa na wanaCCM 11,250 wa Mkoa wa Kigoma, leo Juni 13, 2015.Umati wa WanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma, kuja kumuona Mh. Edward Lowassa (anaeonekana...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATUA MPANDA KWA CHOPA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Chopa iliyowabeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, ikitua kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe,...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATUA SINGIDA MJINI LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Wananchi wa Mji wa Singida wakiishangilia Chopa ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini Singida leo Septemba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye wakiwapungua wananchi wa mji wa Singida, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini...

 

10 years ago

Dewji Blog

MCHEZA KWAO HUTUNZWA; Lowassa atua Arusha na kupata wadhamini 120,335

b5

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akikimbia kuelekea jukwaani kuwashjukuru wananchin na wana CCM wa mkoa wa Arusha walioijitokeza wakati akiomba wadhamini Juni 24, 2015. Mh. Lowassa, alipata jumla ya wadhamini 120,335.(Picha na K-VIS MEDIA).

Lowassa_ahutubia umati 2

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akitoa hotuba ya kuwashukuru wana CCM na wananchi wa mkoa wa Arusha, baada ya kupata wadhamini 120,335, waliomdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba...

 

10 years ago

Mwananchi

Kluivert atua Tanzania, aenda kujichimbia Zanzibar

Mshambuliaji mahiri wa zamani wa Ajax, Barcelona, AC Milan na timu ya taifa ya Uholanzi, Patrick Kluivert amewasili nchini jana asubuhi kwa mapumziko ya muda mfupi na tayari ameenda kisiwani Zanzibar.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ATUA "NYUMBANI" NA KUHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI HUKO MONDULI NA MTO WA MBU NA BABATI MJINI

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na wananchi wa Jimbo la Monduli wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 2, 2015.Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Babati Mjini, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani