Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA ATUA "NYUMBANI" NA KUHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI HUKO MONDULI NA MTO WA MBU NA BABATI MJINI

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na wananchi wa Jimbo la Monduli wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 2, 2015.Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Babati Mjini, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA TAMASHA LA UTALII CUP MTO WA MBU MONDULI


 Mkuu wa Wilaya ya Monduli Jowika Kasunga akikagua timu ya Rift Valley B, iliyocheza na Rift Valley A na kufungwa kwa jumla ya goli 2-0  Kikundi cha sarakasi cha mto wa mbu kikiburudisha wakati wa uzinduzi wa Tamasha la michezo la Utalii Cup  katika uwanja wa barafu katika eneo la mji mdogo wa Mto wa mbu, wilayani Monduli,Arusha. Mkuu wa wilaya ya Monduli aliyekuwa mgeni rasmi wa uzinduzi wa tamasha la utalii CUP akipanda mti wa kumbukumbu katika shule ya sekondari ya Mto wa mbu. Kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MBUZI WAKIWA MACHUNGONI HUKO MTO WA MBU

Kamera man wa Globu ya Jamii alipo kwenye Mji wa Mto wa Mbu,Wilayani Monduli Jijini Arusha ametuletea taswira hii ya Mbuzi wakiwa machungoni.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA AHUTUBIA WAKAZI WA MTO WA MBU, ARUSHA

Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa akihutubia wananchi wa Mto wa Mbu katika mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa eneo la Migombani, Mto wa Mbu jijini Arusha jana.

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa  ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima  na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...

 

9 years ago

Vijimambo

EDWARD LOWASSA NAYE APIGA KURA YAKE HUKO MONDULI

Mgombea Urais wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa na mke wake Mama Regina Lowassa wakishiriki zoezi la uchaguzi mkuu kwa kupiga kura zao leo huko Monduli mkoani Arusha.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AENDELEA "KUTISHA" MAELFU WAFURIKA KUMSIKILIZA HUKO RUVUMA

MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia maelfu ya wananchi akiwa kwenye gari, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015 ambapo alihutubia mkutano wa kampeni ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni akiwa kwenye mkoa watatu baada ya kuzindua rasmi kampeni zake jijini Dar es Salaam. Mh. Lowassa ameendelea kuonyesha "nguvu" zake kisiasa kutokana na maelfu ya wananchi...

 

10 years ago

Vijimambo

HIVI NDIVYO MWIGULU NCHEMBA ALIVYOHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI HUKO GEITA,UWANJA UMETAPIKA

Mwigulu Nchemba akiwasili Uwanja wa MKutano Geita mjini.Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba yakiendelea kwa shamrashamra za kutosha.Hisia za Wananchi kwa Mwigulu Nchemba ambaye katika Bango moja wapo anasomeka kama SOKOINE WA PILI NCHINI TANZANIA.Sehemu ndogo tu ya Maelfu ya Wananchi waliofika Kumsikiliza mh:Mwigulu Nchemba.Kueleka 2015 haikukosa,Hizi ni hisia za Wananchi wanaokoshwa na Uchapakazi wa Mwigulu NchembaMwigulu akikaribishwa Geita kwa Mabango.Kiongozi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWA SHUJAA ARUSHA MJINI KUHUTUBIA WANANCHI KESHO KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijibu hoja mbali mbali zilizoletwa na kamati ya soko la Kilombero ikiwa pamoja na kupandishiwa kodi bila utaratibu maalum.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Arusha kwenye soko la Kilombero ambapo walisalimu wananchi waliojitokeza kwa wingi.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wa chama na serikali wakila chakula kwa Mama Lishe wa soko la Kilombero,jijini Arusha.Katibu Mkuu wa CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

HISIA ZA WANANCHI WA BABATI MJINI KWA COMRADE MWIGULU NCHEMBA ALIPOWASILI HII LEO KUONGEA NAO

Mh:mwigulu Nchemba
akipokelewa Babati Mjini.Wananchi wakisalimiana na Comrade mwigulu Nchemba Mapokezi yanaendelea Babati mjiniHisia za Wananchi wa Babati Mjini kwa Mwigulu Nchemba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani