Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA ATUA SINGIDA MJINI LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Wananchi wa Mji wa Singida wakiishangilia Chopa ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini Singida leo Septemba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye wakiwapungua wananchi wa mji wa Singida, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATUA MPANDA KWA CHOPA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Chopa iliyowabeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, ikitua kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe,...

 

10 years ago

Michuzi

JANUARI MAKAMBA ATUA BUKOBA LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA NA KUZOA WADHAMINI LUKUKI

Mh. January Makamba na mkewe, Ramona(kulia) mara baada ya kushuka kwenye Ndege leo hii Jumatano asubuhi juni 24, 2015. Picha na Faustine Ruta, Bukoba.
Mh. January Makamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Mkoa wa Kagera
Mh. January Makamba akisalimiana na Wanafunzi wa Sekondari waliokuwa Uwanjani hapo ambao bila Shaka walikuwa wanasoma masomo ya Ndege inavyoruka na kutua na mengineyo kiujumla leo jumatano juni 24, 2015. Picha na Faustine Ruta, Bukoba
January Akizungumza na wakazi wa Bukoba...

 

10 years ago

Michuzi

WANACCM 53,156 WAMDHAMINI MH. LOWASSA JIJINI MBEYA LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wakiwa wamemzunguka, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (katikati), wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya leo Juni 19, 2015, kukabidhiwa fomu zitakazomuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mbeya wamevunja rekodi udhamini kwa Mh. Lowassa ya mikoa yote aliyopita, amepata wadhamini 53,156 kwa mkoa wa...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA SONGEA MJINI, DK EMMANUEL NCHIMBI APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIMBONI KWAKE.

 Juu wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea mbunge wao Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi leo mjini Songea. Chini Dkt Nchimbi akiongea na wapiga kura wake na amewashukuru sana kwa mapenzi waliyoonesha kwake baada ya kurejea kutoka Dar es salaam alikopata ajali ya kisiasa iliyomplekea kuwajibika kwa kujiuzuru nafasi yake ya waziri wa mambo ya ndani.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA MOSHI MJINI AZOA WADHAMINI WAKUTOSHA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Kilimanjaro, waliofika katika Ofisi ya CCM ya wilaya ya Moshi Mjini Juni 17.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA APATA MAPOKEZI YA NGUVU MJINI TARIME

Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa Kampeni, Oktoba 10, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI. Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara Oktoba 10,...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND PLATINUMZ ATUA DAR APATA MAPOKEZI YA NGUVU.

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.

 

9 years ago

Bongo5

Mshambuliaji Dimitar Berbatov apata mapokezi makubwa Ugiriki

Mshambuliaji Dimitar Berbatov aliyewahi kuvichezea vilabu vya Tottenham Hotspur, Manchester United,Fulham na AS Monaco amejiunga na klabu ya PAOK ya Ugiriki. Dimitar Berbatov mwenye umri wa miaka 34 amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika klabu ya AS Monaco. Anakuwa mchezaji aliyeingia katika usajili wa kihistoria wa klabu ya PAOK. Mchezaji […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete awasili Dar, apata mapokezi makubwa

jk1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014.

jk3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014.

jk4

Rais Jakaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani