Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE WA SONGEA MJINI, DK EMMANUEL NCHIMBI APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIMBONI KWAKE.

 Juu wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea mbunge wao Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi leo mjini Songea. Chini Dkt Nchimbi akiongea na wapiga kura wake na amewashukuru sana kwa mapenzi waliyoonesha kwake baada ya kurejea kutoka Dar es salaam alikopata ajali ya kisiasa iliyomplekea kuwajibika kwa kujiuzuru nafasi yake ya waziri wa mambo ya ndani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

DK EMMANUEL NCHIMBI Mbunge wa Songea Mjini

Dk Emmanuel Nchimbi alizaliwa Desemba 24, 1971 mkoani Mbeya, (atafikisha miaka 44 Desemba mwaka huu). Elimu yake ya Msingi aliianzia jijini Dar es Salaam katika Shule ya Msingi Oysterbay kati ya mwaka 1980 – 1986.

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATUA SINGIDA MJINI LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Wananchi wa Mji wa Singida wakiishangilia Chopa ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini Singida leo Septemba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye wakiwapungua wananchi wa mji wa Singida, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA MAPOKEZI MAKUBWA MOSHI MJINI AZOA WADHAMINI WAKUTOSHA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Mkoa wa Kilimanjaro, waliofika katika Ofisi ya CCM ya wilaya ya Moshi Mjini Juni 17.2015, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,250. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Dk Emmanuel Nchimbi

Uliahidi kutasaidia mikopo kwa kina mama ili waweze kuanzisha miradi midogomidogo ya ufugaji, ufundi au utengenezaji batiki, Je, kwa nini hujatekeleza?

 

10 years ago

Vijimambo

UONGOZI WA JUU WA ACT WAPATA MAPOKEZI MAKUBWA SONGEA

Vingozi wa ACT-Wazalendo wakiangalia picha za makumbusho ya vita vya majimaji.Pikipiki ambazo ziliongoza mapokezi hayo zikiwa katika msafara.Viongozi wa Juu wa chama cha ACT wakiimba na kucheza jukwaani kwa furaha ya mapokezi makubwa waliyo yapata mkoani Songea.Zitto Kabwe akiwa jukwaani akisalimia wana Songea.
Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele, Mbunge Mtarajwa wa Jimbo la Morogoro Mjini, akiwahutubia wakazi wa mji wa Songea.Mwenyekiti Anna Mngwira, baada ya Kuzindua ofisi za Mkoa za...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ASHIRIKI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU JIMBONI KWAKE NACHINGWEA LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto), akipokea Mwenge wa Uhuru katika Kijiji cha Chiola, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi baada ya Mwenge huo kumaliza kukimbizwa katika Wilaya Ruangwa. Mwenge huo wa Uhuru ambao mwaka huu 2014 umebeba ujumbe usemao “Katiba ni Sheria Kuu ya Nchi, Jitokeze Kupiga Kura ya Maoni tupate Katiba mpya” utakimbizwa katika Wilaya ya Nachingwea ambapo miradi mbalimbali ya maendeleo...

 

9 years ago

Bongo5

Mshambuliaji Dimitar Berbatov apata mapokezi makubwa Ugiriki

Mshambuliaji Dimitar Berbatov aliyewahi kuvichezea vilabu vya Tottenham Hotspur, Manchester United,Fulham na AS Monaco amejiunga na klabu ya PAOK ya Ugiriki. Dimitar Berbatov mwenye umri wa miaka 34 amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika klabu ya AS Monaco. Anakuwa mchezaji aliyeingia katika usajili wa kihistoria wa klabu ya PAOK. Mchezaji […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete awasili Dar, apata mapokezi makubwa

jk1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014.

jk3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014.

jk4

Rais Jakaya...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATUA MPANDA KWA CHOPA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Chopa iliyowabeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, ikitua kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani