Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa atua kwa Nape, Sumaye, Tambwe wamvaa

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana alitua katika Jimbo la Mtama ambalo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye anawania ubunge na kuahidi kujenga viwanda ili kuwasaidia wananchi kuondokana na umaskini ambao alisema anauchukia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ATUA MPANDA KWA CHOPA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Chopa iliyowabeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, ikitua kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe,...

 

10 years ago

GPL

AMISSI TAMBWE ATUA YANGA, SIMBA YAMNASA BEKI HASSAN KESSY

Amissi Tambwe. Mshambuliaji raia wa Burundi, Amissi Tambwe amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu ya Yanga SC baada ya kutemwa na timu yake ya zamani Simba SC. Tambwe ndiye mfungaji bora wa msimu uliopita Ligi Kuu Bara baada ya kutupia mabao 19. Kessy (katikati )akisaini mkataba wa miezi 18 kuichezea Simba SC jana. Kulia ni Geofrey Nyange 'Kaburu' na kushoto ni msimamizi wa Kessy, Athuman Tippo. Wakati Tambwe… ...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA- NAWAPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA NAPE KWA KAZI KUBWA WANAYOIFANYA YA KUKIIMARISHA CHAMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwa furaha na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa wakati wa mapokezi  yaliyofanyika Makuyuni, tayari kuanza ziara mkoani Arusha leo.ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuziMhe. Lowassa amewafagilia Kinana na Nape kwa kazi nzuri wanaoifanya ya kuzunguka mikoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa, Sumaye ‘kifungoni’

 Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imetangaza uamuzi mzito dhidi ya wanachama wake sita ambao hivi karibuni waliitwa na Kamati Ndogo ya Maadili na kuwahoji kutokana na tuhuma za kuanza kabla ya wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu wa urais wa mwaka 2015.

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa, Sumaye Ngeleja wahojiwa

AGIZO la Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kutaka kamati za usalama na maadili za chama hicho kubana wanachama wanaokiuka maadili, limeanza kutekelezwa kitaifa kwa wanachama watatu wa chama hicho kuhojiwa.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA, SUMAYE NYUMA YA PAZIA

Na Mwandishi Wetu WAKATI jana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikitikisa Jiji la Dar kwa kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, Oktoba 25, mwaka huu, nyuma ya pazia ya tukio la Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye kuhama chama hicho kwenda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kumeibuka mambo kibao, Uwazi limebainishiwa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1NR00K6 ...

 

10 years ago

IPPmedia

Lowassa, Sumaye, Mbowe, Mbatia: No comment for now


IPPmedia
Lowassa, Sumaye, Mbowe, Mbatia: No comment for now
IPPmedia
Former Chadema Secretary General Dr Wilbroad Slaa addresses news conference in Dar es Salaam yesterday on his weeks of absence from political forums. The former secretary general of the opposition Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ...
Richmond saga 'ex-PM making' - SlaaDaily News

all 5

 

10 years ago

Habarileo

Mzindakaya awanyooshea kidole Lowassa, Sumaye

MWANASIASA mkongwe, Dk Chrisant Mzindakaya amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Ukawa Edward Lowassa, anasukumwa na kundi la watu wenye uchu na uroho wa madaraka kwa kupitia mgongoni mwake kwa manufaa yao binafsi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa atua Zanzibar

Waziri Mkuu wa zamani  naMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh.  Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA)

Mh. Lowassa, akifurahia jambo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani