Kluivert atua Tanzania, aenda kujichimbia Zanzibar
Mshambuliaji mahiri wa zamani wa Ajax, Barcelona, AC Milan na timu ya taifa ya Uholanzi, Patrick Kluivert amewasili nchini jana asubuhi kwa mapumziko ya muda mfupi na tayari ameenda kisiwani Zanzibar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWANADINGA WA SIKU NYINGI PATRICK KLUIVERT ATEMBELEA PANDE ZA ZANZIBAR
Mchezaji Patrikc Kluivert akiwasili Zanzibar huku akiwa amezingwa na wanahabari wanataka kupata mawili matatu kutoka kwa mwanadinga huyo wa siku nyingi.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
11 years ago
Dewji Blog14 Jun
Rais Zanzibar Dkt. Shein aenda Uingereza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi mbali mbali na wazee wa Chama...
10 years ago
Mwananchi06 Feb
Rais wa Ujerumani aacha gumzo,aenda Zanzibar kwa boti
11 years ago
Habarileo01 Mar
Mufti wa Tanzania aenda India kutibiwa
MUFTI wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba ameondoka nchini juzi kuelekea India kwa ajili ya matibabu.
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Lowassa atua Zanzibar
![](http://4.bp.blogspot.com/-0yu_dQjfHA8/VXM_Ff3JN8I/AAAAAAAAUmE/Woo6b_bxjso/s640/Lowassa_Borafia.jpg)
Waziri Mkuu wa zamani naMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mjini, Unguja Jumamosi usiku, Juni 6, 2015. Mh. Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015. (Picha na K-VIS MEDIA)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_8_S96F077c/VXM_QWaj9QI/AAAAAAAAUmM/Lwmx_ipXStE/s640/Lowassa_Borafia2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0yu_dQjfHA8/VXM_Ff3JN8I/AAAAAAAAUmE/Woo6b_bxjso/s72-c/Lowassa_Borafia.jpg)
MH. LOWASSA ATUA ZANZIBAR KUSAKA WADHAMINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-0yu_dQjfHA8/VXM_Ff3JN8I/AAAAAAAAUmE/Woo6b_bxjso/s640/Lowassa_Borafia.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_8_S96F077c/VXM_QWaj9QI/AAAAAAAAUmM/Lwmx_ipXStE/s640/Lowassa_Borafia2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzcPqQjA4TQ2x-cmVqK3vVyt5xky*PZ4x321kEpPcKGiKmsmJ6uYfeTStnlplREnuT-XiMX4jUsBlAS05ZugVhTe/1.jpg?width=650)
ISIS WAMWUA MFUNGWA BAADA YA KUJICHIMBIA KABURI LAKE
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78085000/jpg/_78085478_kluivert.jpg)
Kluivert on shortlist for Ghana job