Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Ujerumani aacha gumzo,aenda Zanzibar kwa boti

>Ziara ya rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck imeacha mjadala mzito kisiwani hapa kutokana na kitendo chake cha kutumia usafiri wa boti kuja Unguja na kutembea kwa miguu hadi Hoteli ya Serena ya Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais wa Shirikisho la Ujerumani Bwana Joachik Gauck kuwasili zanzibar kwa boti asubuhi hii

Rais wa Shirikisho la Ujerumani Bwana Joachim Gauck anatarajiwa kuwasili Zanzibar leo asubuhi kwa kufanya ziara ya kutwa moja akitokea Mjini Dar es salaamu. Bwana Joachim atapokewa na Mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein, Mawaziri wa Serikali, Viongozi wa Kisiasa na baadhi ya raia wa Ujerumani waliopo Zanzibar huko Bandari ya malindi Mjini Zanzibar. Matayarisho ya mapokezi ya ujio wa Kiongozi huyo wa Shirikisho la Ujerumani yamekamilika...

 

11 years ago

Michuzi

snoop dogg aacha gumzo uingereza kwa kufikia hoteli ya kawaida ya bei poa

Na Sultani KipingoAnajulikana kwa kutumbua maraha na kuishi kifahari, lakini rapa milionea Snoop Dogg ameacha gumzo huko Uingereza kwa kukaa katika hoteli ya bei ya chini ya Holiday Inn Express wakati wa onesho lake katika kitongoji cha Devon, Exeter, wikiendi ilopita  Msanii huyu wa Marekani, ambaye alilipwa pauni za Uingereza 22,000 (sawa na 60,236,000/- za madafu) kwa onesho hilo la masa mawwili katiika ukumbi wa klabu ndogo ya usiku ya Timepiece, alikaa kwenye hoteli hiyo kwa bei ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Zanzibar Dkt. Shein aenda Uingereza

IMG_3668

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP   uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum.

IMG_3687

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama  Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi mbali mbali na wazee wa Chama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond aacha gumzo Kusini

MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platinumz ameahidi kuwatendea haki wakazi wa mikoa ya Kusini kwa kufanya ziara kila mwaka kama shukrani, kwani safari yake ya kimuziki...

 

10 years ago

GPL

BIBI AFARIKI, AACHA GUMZO

Bibi Bhoke Rigamba Igenga enzi za uhai wake.
Stori: Igenga Mtatiro, Butiama
Unaweza kusema Bibi Bhoke Rigamba Igenga wa Kijiji cha (pichani), Mmazami, Kata ya Bukabwa, Tarafa ya Makongoro, wilayani Tarime amezikwa na ndugu waliotokana na tumbo lake 175 licha ya waombolezaji wengine.Mazishi hayo yamezua gumzo baada ya kushindikana ndugu zake wote hao kuweka mashada ya maua kaburini kwani kulikuwa na watoto wake 15, wajukuu 48,...

 

10 years ago

Habarileo

Barabara zote za ndani kukarabatiwa Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akiwa na mwenyeji wake, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa

Mfuko wa Barabara Zanzibar umedhamiria kuzifanyia ukarabati barabara za ndani katika majimbo ya uchaguzi Unguja na Pemba ili kurahisisha huduma za usafiri.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS WA CHINA KUFUATIA VIFO VYA WACHINA 400 KATIKA AJALI YA BOTI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mheshimiwa Xi Jinping kuombeleza vifo vya zaidi ya watu 400 ambao wamepoteza maisha yao katika ajali ya boti ya kitalii, iliyozama katika Mto wa Yangtze mwanzoni mwa wiki hii.
Meli ya kitalii ya Eastern Star ilizama katika Mto wa Yangtze, karibu na mji wa Jianli, Jimbo la Kati la Hubei, Jumatatu usiku ikiwa na abiria 456 waliokuwa wanafanya safari ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ASAFIRI KWA BOTI KWENDA DAR NA KURUDI ZANZIBAR

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuteremka kutoka ndani ya boti ya (Kilimanjaro 111), aliyosafiria akitokea Dar es Salaam. Aliondoka Zanzibar jana saa 9:30 jioni kwa boti ya (Kilimanjaro 1V) na kurejea kutoka Dar es Salaam leo saa 5:30 asubuhi kwa boti ya (Kilimanjaro 111) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika bandari ya Zanzibar akitokea Dar es Salaam kwa usafiri wa boti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani