Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond aacha gumzo Kusini

MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platinumz ameahidi kuwatendea haki wakazi wa mikoa ya Kusini kwa kufanya ziara kila mwaka kama shukrani, kwani safari yake ya kimuziki...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BIBI AFARIKI, AACHA GUMZO

Bibi Bhoke Rigamba Igenga enzi za uhai wake.
Stori: Igenga Mtatiro, Butiama
Unaweza kusema Bibi Bhoke Rigamba Igenga wa Kijiji cha (pichani), Mmazami, Kata ya Bukabwa, Tarafa ya Makongoro, wilayani Tarime amezikwa na ndugu waliotokana na tumbo lake 175 licha ya waombolezaji wengine.Mazishi hayo yamezua gumzo baada ya kushindikana ndugu zake wote hao kuweka mashada ya maua kaburini kwani kulikuwa na watoto wake 15, wajukuu 48,...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais wa Ujerumani aacha gumzo,aenda Zanzibar kwa boti

>Ziara ya rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck imeacha mjadala mzito kisiwani hapa kutokana na kitendo chake cha kutumia usafiri wa boti kuja Unguja na kutembea kwa miguu hadi Hoteli ya Serena ya Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

snoop dogg aacha gumzo uingereza kwa kufikia hoteli ya kawaida ya bei poa

Na Sultani KipingoAnajulikana kwa kutumbua maraha na kuishi kifahari, lakini rapa milionea Snoop Dogg ameacha gumzo huko Uingereza kwa kukaa katika hoteli ya bei ya chini ya Holiday Inn Express wakati wa onesho lake katika kitongoji cha Devon, Exeter, wikiendi ilopita  Msanii huyu wa Marekani, ambaye alilipwa pauni za Uingereza 22,000 (sawa na 60,236,000/- za madafu) kwa onesho hilo la masa mawwili katiika ukumbi wa klabu ndogo ya usiku ya Timepiece, alikaa kwenye hoteli hiyo kwa bei ya...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, MTOTO WAZUA GUMZO

Mwandishi wetu GUMZO! Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mtoto wa dada yake Esma, Taraj wamezua gumzo la aina yake baada picha yao kutupiwa mtandaoni na watu kudhani ni yule Tiffah wa Diamond ambaye hajawahi kuonekana sura. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Esma kuiweka picha inayomuonesha Diamond akiwa amelala kitandani na Tahaj ndipo watu walipofikiri ni ya...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI GUMZO AIRPORT

Musa Mateja na Imelda Mtema BAADA ya kula bata za kutosha Bongo, wakati wakisindikizana kimahaba, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mrembo mkali kutoka Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady, wamezua gumzo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar, Ijumaa lina mchapo kamili. Mrembo mkali kutoka Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady (mwenye gauni...

 

10 years ago

GPL

BETHIDEI YA DIAMOND, WEMA AWA GUMZO!

Stori: Waandishi Wetu
NI Gumzo! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi pati ya kuzaliwa ya supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ametimiza umri wa miaka 25, iliyofanyika usiku wa kuamikia jana kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee Tower (PSPF), Posta jijini Dar, Risasi Jumamosi lilikuwepo ndani ya nyumba. Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mpenzi...

 

10 years ago

GPL

PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI GUMZO

Stori: Musa Mateja
PICHA ya staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ inayomuonesha akila mishikika uswahilini imezua gumzo la aina yake mitandaoni. Staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila mishikika uswahilini. Picha hiyo ambayo ilipigwa mwaka mmoja uliopita maeneo ya Tip Top, Manzese jijini Dar, imeibua mjadala mpya juzikati kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine walimpongeza kwa kitendo...

 

11 years ago

GPL

MBALI NA KUKOSA TUZO, DIAMOND GUMZO MAREKANI

Diamond Platnumz akisalimiana na kupiga stori na rapper Cornell Iral Haynes 'Nelly'. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' amezidi kupasua anga la kimataifa kwa kuhudhuria Tuzo za BET 2014, Los Angeles, Califonia nchini Marekani usiku wa kuamkia leo na kuwa gumzo nchini humo. Kwenye tuzo hizo, Diamond alikuwa akiwania Tuzo ya Msanii Bora wa Kimataifa kutoka Afrika 'Best International Act: Africa' ambayo ilichukuliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani